Kina dada mmezidi kuwa maji mara moja dah

Kina dada mmezidi kuwa maji mara moja dah

Nyie wote, mwanaume na mwanamke ni maharage ya soya mbeya au yale ya njano ya siku hizi wanaita rojo!!!! Kama unajiheshimu kwa nini ulimtokea na mke unaye? Kama usingemtokea naye asingekuwa na wewe!! Wewe flaisi ya pekosi lako iko wazi halafu unamsakama mdada wa watu? Kwani kakuomba wewe hicho kinanihii chako? Dah!
 
yani kweli sikuhizi wanawake nikama pipi tu unaenda dukani unanua unaondoka... Huwezi amini kuna dada nimekutana nae tu asubuhi nikachukua namba ya simu yake ..huwezi amini hadi muda huu ameshakubali kutoa k..bila ubishi dah.hata kusema sitaniki na ana degree yake kazi nzuri..yupo ofisi ya jirani na yangu ..
Mhh.... Na nimemwambia nina mkee asije akaganda na yeye kasema ana bf wake...

sasa si umeomba ukitaka akunyime??
Ntu umetaka mwenyewe,,baah,,kunnyima ntu kitu kama icho we huoni zambi?
Lakini sio kina dada wote,,,inategemeana na ntu na ntu..
 
wewe pia ni maj... Uta muombaje fasta fasta hvyo
 
Yani kweli sikuhizi wanawake nikama pipi tu unaenda dukani unanua unaondoka... Huwezi amini kuna dada nimekutana nae tu asubuhi nikachukua namba ya simu yake ..huwezi amini hadi muda huu ameshakubali kutoa k..bila ubishi dah.hata kusema sitaniki na ana degree yake kazi nzuri..yupo ofisi ya jirani na yangu ..
Mhh.... Na nimemwambia nina mkee asije akaganda na yeye kasema ana bf wake...

Maharaghe ya mbeya kaka,maji mara moja unaepua.
 
She is not piece of wood,she is got the blood in her body,but remember your promise in your a wedding day:msela:
 
wewe ndio bila hata maji,kazi kusema wenzio tu!angekataa pia ungetulilia,bora mbuzi.....
 
Acha huyo kuna mwingine nilikutana nae maeneo ya udsm ijumaa nikachukua namba nilichokosea nikambip apate yangu,, sasa anavyonitafuta text na calls kibao wakati sijapanga kumtafuta kabisa, niliwaza mwenyewe wakat naingia kwenye gari nikaamua simtafuti tena, but anavyonisaka yeye sasa ni balaa...

Jitokeze uliwe.....unalalama nini sasa
 
sasa na wewe una mke ulimuomba wa nini, si anajua na wewe ni kudumu tuu hahahaha
 
Duh na nyie mmezidi kuingia kwenye mitego yetu, yaani kujilengesha kidogo tu nawe umeshaingia lainii huku jitu lina mke na watoto. Na mtakoma mpaka tuwamalize mwaka huu!

Sipati picha hali inatisha sana, hapa wa kulaumiwa ni huyu mwanaume kwanza halafu mwanamke anafuata! halafu huyu dada ana bf na ana kazi ofisi jirani tu na mkuu wa kaya!
Tukisema kusoma nakuajiriwa pia ni tatizo kwa akina dada mnasema hamnaaa akili ya mtu tu......
 
Hivi kukubaliwa haraka inamfanya mtu awe cheap?? sidhani, Kumbe hii desturi bado ipo katika mawazo ya watu, hivi kama yeye anakubaliana na matakwa yako kama unavyomtaka kuna mantiki gani ya kupotezeana muda ilihali atakukubalia tu mbeleni??

Mimi namuona huyo mstaarabu na anafuata sheria alizojiwekea na sio desturi zilizokutwa hata kama hazina mantiki ziendelezwe tu. Hongera zake kwa kuwa-focused kwenye anacho kitaka....wewe ulikuwa unajaribu tu ama pengine ulishajipanga kwa nenda rudi kibao.
 
Ama kweli watu wengine nshine kweli........
Yaani wewe mwenyewe ndo umechomekwa, alafu unataka achomoe yeye?

I see say you dey are good for nothing ooo!!
TULIZANA..
 
Haya mambo yanachanganya sana wakati huu. Watu wamebadilika mno miaka hii. Hakuna tofauti na wanyama
 
Angekunyima ungeanza kulalama pia...yule mdada mnyimi kweli utadhani naomba kazi!!!! Anataka kutoboa mfuko wangu kwa outings za kufa mtu lakini mchezo hatoi!!! Badilika kaka!! acha kuwatongoza wanawake kisha kuja kuwadhalilisha hapa jamvini.

Yani kweli sikuhizi wanawake nikama pipi tu unaenda dukani unanua unaondoka... Huwezi amini kuna dada nimekutana nae tu asubuhi nikachukua namba ya simu yake ..huwezi amini hadi muda huu ameshakubali kutoa k..bila ubishi dah.hata kusema sitaniki na ana degree yake kazi nzuri..yupo ofisi ya jirani na yangu ..
Mhh.... Na nimemwambia nina mkee asije akaganda na yeye kasema ana bf wake...
 
Last edited by a moderator:
Unajua kinachonichekesha yeye anajiona mjanjaaaa!

Mwanzoni nilikuwa nadhani ni tamthilia tu za wanaijeria mpaka nilivyo kutana na mdada ambaye analipepo la uharibifu. Yeye ilikuwa akikuangalia tu lazima umfuate, na baada ya hapo uwezo wako wa kuzaa unaisha. sasa jamaa yangu kajilengesha mwenyewe halafu anajiona mjanja.

Mshukuru mkeo, si ajabu ni mtu wa kusali ndio maana umeweza kuchomoka. Kidume ni yule anajiheshimu mwenyewe kwanza na kumuheshimu mkeo. Wewe unafikiri ni sifa kila mdada ajue size ya hicho kibamia chako? Wanavyokudanganya 'you are great' nawe unajidanganya pia, the only great thing about u is ur money hakuna zaidi.

Watumie wanawake nao wakutumie!
 
Yani kweli sikuhizi wanawake nikama pipi tu unaenda dukani unanua unaondoka... Huwezi amini kuna dada nimekutana nae tu asubuhi nikachukua namba ya simu yake ..huwezi amini hadi muda huu ameshakubali kutoa k..bila ubishi dah.hata kusema sitaniki na ana degree yake kazi nzuri..yupo ofisi ya jirani na yangu ..
Mhh.... Na nimemwambia nina mkee asije akaganda na yeye kasema ana bf wake...

Kweli mambo yamebadilika siku izi wanawake wamekua maji mara moja kama wanaume!!!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom