Kina dada mmezidi kuwa maji mara moja dah | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kina dada mmezidi kuwa maji mara moja dah

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KIBE, Oct 23, 2012.

 1. K

  KIBE JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yani kweli sikuhizi wanawake nikama pipi tu unaenda dukani unanua unaondoka... Huwezi amini kuna dada nimekutana nae tu asubuhi nikachukua namba ya simu yake ..huwezi amini hadi muda huu ameshakubali kutoa k..bila ubishi dah.hata kusema sitaniki na ana degree yake kazi nzuri..yupo ofisi ya jirani na yangu ..
  Mhh.... Na nimemwambia nina mkee asije akaganda na yeye kasema ana bf wake...
   
 2. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Wewe si ndiyo umemtokea mwenzako? Umemtokea kakubali, halafu tena wewe mwenyewe unaanza kulaumu kuwa ni maji mara moja, ulitakaje sasa? Au ulikuwa unatishia nyau mwenzio kafungulia mbwa? Haya mzigo huo sasa sijui utaupeleka wapi! Kazi kwako na uwe makini na UKIMWI.

  Na nyie akina dada, jaribuni kujiheshimu, wengine wanatishia tu kama huyu. Si kila unachoambiwa unakubali. Unamkubalije mtu wakati na wewe una bf wako? Kuweni makini!
   
 3. piper

  piper JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 3,260
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Tatizo nn hapo, maana umemtokea kakubali ulikuwa unatest zali, au?
   
 4. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,971
  Likes Received: 562
  Trophy Points: 280
  wacha zako nawe...dada wa watu kawa mkweli sasa wasema amekuwa easy. she is just open minded to know kuwa u just wana have fun with her so nae yupo kimchezo zaidi au kisa demu basi ndio unaona easy....y wewe sio easy kutongoza wakati una mke.

  wacha wanawake wawe huru kufanya kama wanaume tunvyofanya bwana. nao wanapenda kugegedwa ati!!!
   
 5. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,138
  Likes Received: 914
  Trophy Points: 280
  Acha huyo kuna mwingine nilikutana nae maeneo ya udsm ijumaa nikachukua namba nilichokosea nikambip apate yangu,, sasa anavyonitafuta text na calls kibao wakati sijapanga kumtafuta kabisa, niliwaza mwenyewe wakat naingia kwenye gari nikaamua simtafuti tena, but anavyonisaka yeye sasa ni balaa...
   
 6. charger

  charger JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,318
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  Wanaume wa siku hizi bana asione kichaka mavi yameshambana!!!!!!! Angalia tu usiukawa umekutana na jambazi tu,ukadhani unaiba kumbe we ndo unaibiwa
   
 7. nkyalomkonza

  nkyalomkonza JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 1,166
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Sasa ulitaka akatae. Binadamu hamna wema.
   
 8. V

  Von Mo JF-Expert Member

  #8
  Oct 23, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 1,832
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  umeomba umepewa lawama za nini? ndiyo ujiulize mko wangapi?
  Kwa haraka haraka kakutamani na yeye, kwani si binadamu kama wengine?
   
 9. s

  souvenir Senior Member

  #9
  Oct 23, 2012
  Joined: Aug 24, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Watu wanataka wa kufa nao kwa nini akuzungushe wakate umetaka mgao
   
 10. A

  Angeloos Member

  #10
  Oct 23, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa nini yeye ndio maji mara moja na sio WEWE? Mmekutana wote ni maji mara moja.
   
 11. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #11
  Oct 23, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,586
  Likes Received: 763
  Trophy Points: 280
  Duh na nyie mmezidi kuingia kwenye mitego yetu, yaani kujilengesha kidogo tu nawe umeshaingia lainii huku jitu lina mke na watoto. Na mtakoma mpaka tuwamalize mwaka huu!
   
 12. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #12
  Oct 23, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,586
  Likes Received: 763
  Trophy Points: 280
  Kama nami nataka kumchezea je!
   
 13. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #13
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mbona unageneralise?
  umeomba k umekubaliwa,matusi kwa kinadada wengine ya nn?ungekuwa unajiheshimu na kumheshimu mkeo usingehangaika kutafuta k za barabarani.hivi hata huyo mkeo anaweza kujisifu kuwa ana mume?
   
 14. V

  Vanc Member

  #14
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kilicho kufanya uchukue namba yake ya nini kama ulikuwa humwitaji? ya wezekana ulikuwa una mmendea kwa muda mrefu kufanikiwa kupata namba yake ndiyo unaanza kashfa je? Angekunyima namba au k.... ungewa ambia wana jf
   
 15. Mahmetkid

  Mahmetkid JF-Expert Member

  #15
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 557
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Hilo ni jambo la kawaida tu working place na sehemu zingine.
  Walio kwenye mahusiano ya kimapenzi na walio kwenye ndoa wasipokuwa makini, UMEME utawamaliza.
   
 16. M

  Mundu JF-Expert Member

  #16
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,720
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Binadamu yeyote (mwanaume ama mwanamke) ni kiumbe dhaifu
   
 17. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #17
  Oct 23, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,432
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  kwani anakutafuta akupe k? maybe kuna kitu anakuuliza...wanaume bwana?
   
 18. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #18
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,584
  Likes Received: 5,805
  Trophy Points: 280
  Sasa kwa nini aseme sitaki wakati anataka?
   
 19. m

  muhinda JF-Expert Member

  #19
  Oct 23, 2012
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 326
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  umempata wa kufanana nae, sasa una lalamika nini?
   
 20. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #20
  Oct 23, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 1,999
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  watu wengine bana....angekuchomolea ungekuja kuanzisha mada? acheni kujidhadhalilisha...
   
Loading...