Kina dada mmezidi kuwa maji mara moja dah

Kina dada mmezidi kuwa maji mara moja dah

Yani kweli sikuhizi wanawake nikama pipi tu unaenda dukani unanua unaondoka... Huwezi amini kuna dada nimekutana nae tu asubuhi nikachukua namba ya simu yake ..huwezi amini hadi muda huu ameshakubali kutoa k..bila ubishi dah.hata kusema sitaniki na ana degree yake kazi nzuri..yupo ofisi ya jirani na yangu ..
Mhh.... Na nimemwambia nina mkee asije akaganda na yeye kasema ana bf wake...

Mkuu wewe sindio mlkmfuata sasa unamlaumu nani kwani usinge mtokea angekukubalia wanaume wenyewe sikuhizi hamshikiki mpaka muwindwe na angekataa ungeanza kulalamika oooh unaringa na mambo kama hayo kuwa makini usije kuacha watoto wako na mkeo kwa kufa na gonjwa la ukimwi wengine wanatembea lkn sio watu.
 
nyie ndo mnatuharibia wachumba zetu,
unafikiri huyo bf akijakuona huo ujinga wako atakuwa tayar kuendelea nae?

Jua na mkeo huko anakofanyakazi masela wanamfanyia hivyo hivyo (ukila vya wenzio na vyako vinaliwa)
 
Je dada yako na mama yako mdogo wamo kwenye kundi hili? Umejiuliza kama na mama yako alikuwa hivyo kwa baba yako na wale maanko? Usitukane watu wote kwa ujuha wako bila kufikiri. Wakati ukihukumu wanawake wote ulisahau kuwa dada yako shangazi na mama yako ni wanawake hao hao. Mwanangu Kibe jaribu kuwa na adabu na utumie akili. Isitoshe huyo chai maharagwe uliyempata umejiuliza anawashobokea wangapi kama wewe? Miwaya nayo je?
 
wewe si ndiyo umemtokea mwenzako? Umemtokea kakubali, halafu tena wewe mwenyewe unaanza kulaumu kuwa ni maji mara moja, ulitakaje sasa? Au ulikuwa unatishia nyau mwenzio kafungulia mbwa? Haya mzigo huo sasa sijui utaupeleka wapi! Kazi kwako na uwe makini na ukimwi.

Na nyie akina dada, jaribuni kujiheshimu, wengine wanatishia tu kama huyu. si kila unachoambiwa unakubali. Unamkubalije mtu wakati na wewe una bf wako? Kuweni makini!
duu mkuu wengine wapo kwenye michakato... Usifanye kufanya shuguli ikawa pevu bure....yeye kama alitishia ni juu yake....
 
Mkuu unashangaa nini? Ndio mambo ya kizungu yameingia kwetu sasa. Unauliza mchezo leo unapata leo
 
Wewe si ndiyo umemtokea mwenzako? Umemtokea kakubali, halafu tena wewe mwenyewe unaanza kulaumu kuwa ni maji mara moja, ulitakaje sasa? Au ulikuwa unatishia nyau mwenzio kafungulia mbwa? Haya mzigo huo sasa sijui utaupeleka wapi! Kazi kwako na uwe makini na UKIMWI.

Na nyie akina dada, jaribuni kujiheshimu, wengine wanatishia tu kama huyu. Si kila unachoambiwa unakubali. Unamkubalije mtu wakati na wewe una bf wako? Kuweni makini!

mbona yeye anatongoza wakati ana mke na yeye tamaa vilevile,alimtamani akaomba namba ya simu kamwomba kamkubalia sasa analalamika nini...?na yeye maji mara moja ati...........😡😡😡
 
Yani kweli sikuhizi wanawake nikama pipi tu unaenda dukani unanua unaondoka... Huwezi amini kuna dada nimekutana nae tu asubuhi nikachukua namba ya simu yake ..huwezi amini hadi muda huu ameshakubali kutoa k..bila ubishi dah.hata kusema sitaniki na ana degree yake kazi nzuri..yupo ofisi ya jirani na yangu ..
Mhh.... Na nimemwambia nina mkee asije akaganda na yeye kasema ana bf wake...

Wengi wao hata chupi au nguo ya ndani hawavai
 
mbona yeye anatongoza wakati ana mke na yeye tamaa vilevile,alimtamani akaomba namba ya simu kamwomba kamkubalia sasa analalamika nini...?na yeye maji mara moja ati...........😡😡😡

Kwa nini siku hizi wanawake wengi hawavai chupi?
 
Uthawa mgumu huu watu wanakaba mpaka penati.......watu wanatwanga kotekote..........
 
Yani kweli sikuhizi wanawake nikama pipi tu unaenda dukani unanua unaondoka... Huwezi amini kuna dada nimekutana nae tu asubuhi nikachukua namba ya simu yake ..huwezi amini hadi muda huu ameshakubali kutoa k..bila ubishi dah.hata kusema sitaniki na ana degree yake kazi nzuri..yupo ofisi ya jirani na yangu ..
Mhh.... Na nimemwambia nina mkee asije akaganda na yeye kasema ana bf wake...

....You think is cheap but is 2 steps ahead of you...nenda kichwa kichwa tu..ukidhani ni KILA mteremko pana Bonde
 
Acha huyo kuna mwingine nilikutana nae maeneo ya udsm ijumaa nikachukua namba nilichokosea nikambip apate yangu,, sasa anavyonitafuta text na calls kibao wakati sijapanga kumtafuta kabisa, niliwaza mwenyewe wakat naingia kwenye gari nikaamua simtafuti tena, but anavyonisaka yeye sasa ni balaa...
hivi ulipoombanamba yake ulimaanisha nn?
pengine alijua ni mtu wa mishe mishe so hapa mjini lazima uende fasta akaona ashapata wa kumpiga chura wake teke
 
mapenzi uwazi jamani kuzungushana ilikuwa zamani mi ukinifuata nikakupenda nakubali kikubwa kupima ukimwi na kibaya wanaokubali wanaume wakati wapo kwenye mahusiano
 
Yani kweli sikuhizi wanawake nikama pipi tu unaenda dukani unanua unaondoka... Huwezi amini kuna dada nimekutana nae tu asubuhi nikachukua namba ya simu yake ..huwezi amini hadi muda huu ameshakubali kutoa k..bila ubishi dah.hata kusema sitaniki na ana degree yake kazi nzuri..yupo ofisi ya jirani na yangu ..
Mhh.... Na nimemwambia nina mkee asije akaganda na yeye kasema ana bf wake...

KIBE Acha hizo bana me nawafagilia kinouma dadaz kama hao, kama vp ni pm unipe namba yake ili nikachape nae game. Nahisi ww ujanja mdomoni chini Kibamia aka Kifirimbi cha Refa waogopaaaaaaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom