G
guest-1790917349
Guest
kweli ubin adam kazi!ukikubaliwa,ooh wanawake wako cheap!tukikataa,oohqananizungusha!,lipi jema jamani?......halafu ww ndo km pipi kabisa,una mke unamtaka wa nn!?...acheni kutudhalilisha bana!
watu wengine bana....angekuchomolea ungekuja kuanzisha mada? acheni kujidhadhalilisha...
Hivi kukubaliwa haraka inamfanya mtu awe cheap?? sidhani, Kumbe hii desturi bado ipo katika mawazo ya watu, hivi kama yeye anakubaliana na matakwa yako kama unavyomtaka kuna mantiki gani ya kupotezeana muda ilihali atakukubalia tu mbeleni??
Mimi namuona huyo mstaarabu na anafuata sheria alizojiwekea na sio desturi zilizokutwa hata kama hazina mantiki ziendelezwe tu. Hongera zake kwa kuwa-focused kwenye anacho kitaka....wewe ulikuwa unajaribu tu ama pengine ulishajipanga kwa nenda rudi kibao.
kweli ubin adam kazi!ukikubaliwa,ooh wanawake wako cheap!tukikataa,oohqananizungusha!,lipi jema jamani?......halafu ww ndo km pipi kabisa,una mke unamtaka wa nn!?...acheni kutudhalilisha bana!
Ila mumezidi yaani siku hizi waweza kubeba mtu mama mtu na mdogo mtu at the same time na bado wakawa wanajuana na hawaachi........
Eversmilin Gal, hujambo mwanangu!??yani mkeo akuzungushe miaka miezi ndo akukubalie halafu na huyo dada akuzungushe wakti yeye yuko kimaslah aaaarrrgh....
Kwanza tulia na mkeo nyumbani
Kwa nini yeye ndio maji mara moja na sio WEWE? Mmekutana wote ni maji mara moja.