kina dada haya majina mnayobatizwa,nini chanzo?

mie huwaita wanyama
na nimewagawa kwa makundi haya.

Farasi- wanaovaa high heels zinatoa sauti kwa kwa kwa

pundamilia - wanaopendeza kwa macho

twiga- wale wenye madaha

swala- wasumbufu sana kuwala, unatumia nguvu nyingi. Njoo kesho, njoo kesho ila mwishoni huliwa tu

nyumbu- hawana akili, unawala wakati unaotaka mwenyewe.

hawa wanakuwa na status gani wameolewa U?
 
xory amyner, nilikua nemeenda kwa "long col" kimtindo! Mnayapenda coz mnayatumia. Utasikia msichana anazungumza "yule ni dem wa kaka'angu"..lol. Kama hamyataki hayo majina andaeni maandamano ya kupinga kunyanyaswa kijinsia! BEIJING ipo kuwatetea..

Haina haja ya maandamano, ni limbukeni yule anayemuita mwanamke hayo majina wakati ana mama, dada, na pengine akaja pata mtoto wa kike!
Halafu huyo msichana aliyethubutu kusema "demu wa kaka' angu" lazima ana ugomvi na wifi yake. So ni kama kamtusi vile!
 
:lol::eyebrows::lol:



Pundamlia na farasi papo hapo
Naona kama ana high heels

Akha! Majina ya kongosho siyataki mie.. Halafu we kongs umejuaje nna high heels au ndo wewe tulogongana pale dukani mchana leo eh?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom