kina dada haya majina mnayobatizwa,nini chanzo?

Mnatuita majina mengi because mnatuhitaji sana.. Mnazunguuuka but thats the reality.

Kumbe nanyi mnayapenda eeh! Manake hamna akili coz dem ni ngombe jike, mfugo ndo ivo tena(hayawani), shori kikwetu ni mjusi jike..........
 
mie huwaita wanyama
na nimewagawa kwa makundi haya.

Farasi- wanaovaa high heels zinatoa sauti kwa kwa kwa

pundamilia - wanaopendeza kwa macho

twiga- wale wenye madaha

swala- wasumbufu sana kuwala, unatumia nguvu nyingi. Njoo kesho, njoo kesho ila mwishoni huliwa tu

nyumbu- hawana akili, unawala wakati unaotaka mwenyewe.

we kongosho umenifanya nionekane boya mana nimecheka kitandale ghafla kwenye daladala...
nimeipenda hiyo style yako...japo mm nilijua na ww ndio hao viumbe tuwazungumziao hapa...
hilo kundi la mwisho ndo nalipenda aise..mana ctakagi majotrooo!
 
Kumbe nanyi mnayapenda eeh! Manake hamna akili coz dem ni ngombe jike, mfugo ndo ivo tena(hayawani), shori kikwetu ni mjusi jike..........

tan taraaaaa!.
wakiutana na mm watanimaliza unasiliba aise
 
Huwa najaribu kufikiri km mkianza mgomo...mkawa mkitongozwa hamkubali kabisaaaa hata kwa mwaka...hali itakuwaje??

halafu hilo bonge la idea erick.. Sijui tufanye ka-mgomo? Ila hiyo inaweza kuleta balaa....!!
 
si unit jibu sasa...
leooo!.

xory amyner, nilikua nemeenda kwa "long col" kimtindo! Mnayapenda coz mnayatumia. Utasikia msichana anazungumza "yule ni dem wa kaka'angu"..lol. Kama hamyataki hayo majina andaeni maandamano ya kupinga kunyanyaswa kijinsia! BEIJING ipo kuwatetea..
 
mie huwaita wanyama
na nimewagawa kwa makundi haya.

Farasi- wanaovaa high heels zinatoa sauti kwa kwa kwa

pundamilia - wanaopendeza kwa macho

twiga- wale wenye madaha

swala- wasumbufu sana kuwala, unatumia nguvu nyingi. Njoo kesho, njoo kesho ila mwishoni huliwa tu

nyumbu- hawana akili, unawala wakati unaotaka mwenyewe.

kongosho naona unaendeleza utata mtupu.

Wengne vicheche,mlupo,kazi,pambano.beki3 inategemea
 
mie huwaita wanyama
na nimewagawa kwa makundi haya.

Farasi- wanaovaa high heels zinatoa sauti kwa kwa kwa

pundamilia - wanaopendeza kwa macho

twiga- wale wenye madaha

swala- wasumbufu sana kuwala, unatumia nguvu nyingi. Njoo kesho, njoo kesho ila mwishoni huliwa tu

nyumbu- hawana akili, unawala wakati unaotaka mwenyewe.

duh.. kwa hiyo amyner ungemweka kundi gani mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom