HNIC
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 1,898
- 2,202
Bosi wake Ndugu Magufuli anapiga kazi kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saaa 4 usiku. Monday to Monday. Na impact yake ishaanza kuonekana
sasa kimya cha makamo wa Rais bi Samia Suluhu kinaashiria nini? Ina maana kashaanza kum sabotage bosi wake au ndio insubordination au ndio yeye hajali kabisaa na haa matatizoyetu hayajali?
Kwa kuwa serikali yetu inafanyakazi kwa style ya MANAGEMENT BY WANDERING AROUND (MBWA), iweje huyu mama ashindwee kwenda TRA, TRC, TPA na kutuambia ofisi yake inafanya nini kumsaidia Ndugu Magufuli?
Kama ataendelea kukaa kimya bora aondoke ili tuletewe mwingine mchapakazi (kwa zanzibar sina hakika kama wapo wanawake ambao wanapiga au wanaweza kwenda na spidi ya ndugu magufuli) , Kama wapo nashauri magufuli awe na list yake stand by. HUyu Suluhu sioni tofauti yake na saada mkuya