Kimya cha VP, Bi Samia Suluhu tukitafsiri vipi?

Kimya cha VP, Bi Samia Suluhu tukitafsiri vipi?

Wanawake wa kizanzibari hawana tabia ya kukimbia kimbia huku na huko maana hawajalelewa hivyo. Kwa wao kila kitu kinafanywa na mwanaume mpaka kununua samaki marikiti.
 
Under Magufuli kuna job description?


Hahahahahah acha matusi banaaa teh teh

Nimekumbuka juzi alipowaambia makatibu wakuu wakatatue kero za wananchi vijijini!!!!!!
 
Under Magufuli kuna job description?


Hahahahahah acha matusi banaaa teh teh

Nimekumbuka juzi alipowaambia makatibu wakuu wakatatue kero za wananchi vijijini!!!!!!
 
Kazi kuu ya makamu ya rais nini kushika madaraka pale rais anaposhindwa kutekeleza majukumu yake kama kifo,maradhi,kufukuzwa kazi au safari
 
Subiri hadi msimu wa kuzindua visima ukianza utamuona tu...
 
Hata angekuwa hana hekima kabisa, let say zero capacity of wiseness....kwa haya aliyoyafanya siku hizi tatu tu...naomba aendelee kuikosa hiyo hekima. Hiyo hekima ndio imetufikisha hapa. Sasa ni mwendo wa tingatinga tu.

Yani hzo ni mbwembwe za house girl kukaanyumba mpya akizoea atafanya kama mwenzake awamu ya 4 alafu hata baba riziwan sialianza hivyo hvyo na ikawa ninguvu ya soda huyu nae soon mtaona
 
Kampeni zilikuwa nzito ngoja kwanza ajipumzishe na laaziz wake
 
Bosi wake Ndugu Magufuli anapiga kazi kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saaa 4 usiku. Monday to Monday. Na impact yake ishaanza kuonekana

sasa kimya cha makamo wa Rais bi Samia Suluhu kinaashiria nini? Ina maana kashaanza kum sabotage bosi wake au ndio insubordination au ndio yeye hajali kabisaa na haa matatizoyetu hayajali?

Kwa kuwa serikali yetu inafanyakazi kwa style ya MANAGEMENT BY WANDERING AROUND (MBWA), iweje huyu mama ashindwee kwenda TRA, TRC, TPA na kutuambia ofisi yake inafanya nini kumsaidia Ndugu Magufuli?

Kama ataendelea kukaa kimya bora aondoke ili tuletewe mwingine mchapakazi (kwa zanzibar sina hakika kama wapo wanawake ambao wanapiga au wanaweza kwenda na spidi ya ndugu magufuli) , Kama wapo nashauri magufuli awe na list yake stand by. HUyu Suluhu sioni tofauti yake na saada mkuya

Huwa mambo hayaendi hivyo...
Binafsi nina wasiwasi na Uelewa wako wa utendaji wa Serikali tofauti na hako ka MBWA uliko chomekea hapo!!
Kwanza ungeuliza kazi za makamo wa Rais ili usaidiwe....
Lakini kwa taarifa yako...ukiona Rais anaperform ujue pamoja na juhudi zake binafsi kuna ushauri mzuri anapata
 
Pamoja na kuwa mimi ni ukawa, lakini mama Samia ana hekima kwa asilimia sabini, ni vigumu kufanya kazi na Pombe mwenye hekima asilimia kumi na moja tu. Vurugu tupu. Muda si mrefu Pombe ataamuru jengo la Tanesco pale Ubungo livunjwe.

Yes litavunjwa tu kama limejengwa kinyume na sheria..kwan jengo kitu gani kwa serikali...waliweza kubomoa nyumba za watu why nt gvt....leta hoja yenye mashiko
 
Back
Top Bottom