Kimya cha VP, Bi Samia Suluhu tukitafsiri vipi?

Kimya cha VP, Bi Samia Suluhu tukitafsiri vipi?

Labda bado anasubiri Kontena la mikasi liwasili...

Hivyo bado anasubiri vutendea kazi.
 
Yupo anashughulikia issue ya Zanzibar kwa sasa.
 
Bosi wake Ndugu Magufuli anapiga kazi kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saaa 4 usiku. Monday to Monday. Na impact yake ishaanza kuonekana

sasa kimya cha makamo wa Rais bi Samia Suluhu kinaashiria nini? Ina maana kashaanza kum sabotage bosi wake au ndio insubordination au ndio yeye hajali kabisaa na haa matatizoyetu hayajali?

Kwa kuwa serikali yetu inafanyakazi kwa style ya MANAGEMENT BY WANDERING AROUND (MBWA), iweje huyu mama ashindwee kwenda TRA, TRC, TPA na kutuambia ofisi yake inafanya nini kumsaidia Ndugu Magufuli?

Kama ataendelea kukaa kimya bora aondoke ili tuletewe mwingine mchapakazi (kwa zanzibar sina hakika kama wapo wanawake ambao wanapiga au wanaweza kwenda na spidi ya ndugu magufuli) , Kama wapo nashauri magufuli awe na list yake stand by. HUyu Suluhu sioni tofauti yake na saada mkuya

Kwako kuna utepe aje akukatie!
 
Pamoja na kuwa mimi ni ukawa, lakini mama Samia ana hekima kwa asilimia sabini, ni vigumu kufanya kazi na Pombe mwenye hekima asilimia kumi na moja tu. Vurugu tupu. Muda si mrefu Pombe ataamuru jengo la Tanesco pale Ubungo livunjwe.

Sheria ya kujenga kandokando mwa barabara inasemaje? Mbona wengine tunavunjiwa nyumba zetu, akivunja itakuwa sawa tu maana huwa wanasema sheria "MSUMENO"
 
Anasubiri mikasi kutoka US..tulia utwona akianza kazi za kukata utepe..
 
Kwani kuna miradi au makongamano ya kuzindua wapi? Hebu usiwe mgeni na wewe! Ina maana kazi za VP wewe huzijui? Refer Dr. M.G.B era!
 
I miss JK

Ikuwa asubuhi mchana usiku namwandama weeeee

sasa kaondoka kuko boringi

Magufuli naye kimya masaa zaidi ya 48

Bora JK angeendelea for 6 more months
 
Amini nawaambia,hakuna msamiati "Mgawanyo wa madaraka" a.k.a delegation katika kamusi ya Magufuli..Style yake ya kazi inaitwa "One man show"..Atafanya mambo meeengi mazuri ambayo wananchi wanapenda yafanyike lakini mwisho wa siku ataangushwa na watendaji wake ambao hawataridhika na umaarufu na sifa za JPM na kuwafunika kwa kutowapa nafasi ya kuonesha uwezo wao.NB.JPM sio Spiderman wala Superman ambaye tulipo yupo.Atafukia mashimo meeengi lakini akitoka tu wengine watachimbua upya.Ni vyema akateua watu wenye uwezo mkubwa watakaofanya kazi kwa spidi kubwa kuliko ya kwake na atakaowapa nafasi ya kutenda yeye akiwa msimamizi mkuu.Aidha anapaswa azipe meno taasisi nyeti kama TAKUKURU,BUNGE,MAHAKAMA,NEC n.k ili zipate kutimiza majukumu yao pasipo kuingiliwa na Serikali.
 
Hakuna kitu magufuleeee ni mzigo samia anarembua tu
 
Definition ya HEKIMA ni nini? HAPA NI KAZI YU mshazoea uvivu mtaisoma namba kwa TINGATINGA. Mgombea wenu na dalali wake mr 0 ndio hawana hekima.
 
Kazi za makamu ni kufungua makongamano , siku ya misitu dunian , malaria na nyinginezo hizo ndo show zake , refer from bilali
 
nakumbusha tuliko toka
 
Bibie mbona kimya sana?
 
Back
Top Bottom