Kimya cha VP, Bi Samia Suluhu tukitafsiri vipi?

naendelea kupita tuu
 
According to Mange Kimambi she's had enough of Magu...hehheheeee hoiiiii.
Magu naye kamwambia kuwa fungu la muss halijai....akha!

Bosi wake Ndugu Magufuli anapiga kazi kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saaa 4 usiku. Monday to Monday. Na impact yake ishaanza kuonekana

sasa kimya cha makamo wa Rais bi Samia Suluhu kinaashiria nini? Ina maana kashaanza kum sabotage bosi wake au ndio insubordination au ndio yeye hajali kabisaa na haa matatizoyetu hayajali?

Kwa kuwa serikali yetu inafanyakazi kwa style ya MANAGEMENT BY WANDERING AROUND (MBWA), iweje huyu mama ashindwee kwenda TRA, TRC, TPA na kutuambia ofisi yake inafanya nini kumsaidia Ndugu Magufuli?

Kama ataendelea kukaa kimya bora aondoke ili tuletewe mwingine mchapakazi (kwa zanzibar sina hakika kama wapo wanawake ambao wanapiga au wanaweza kwenda na spidi ya ndugu magufuli) , Kama wapo nashauri magufuli awe na list yake stand by. HUyu Suluhu sioni tofauti yake na saada mkuya
Jungu at work, carry on
 
bi samia njoo bas kwenye JF jamani pleeeeze
 
Si lazima wote watumie MBWA wengine wanatumia MANAGEMENT BY OBJECTIVES!
 
Kwa ZANZIBER wapo wengi mmojawapo ni huyuu aliyempisha POMBE wakati wa mchujo wa mgombea urais japo huyu mama alimshinda POMBE tena kwa kura nyingi tu (za muheshimiwa LUWASA) Maana aliziomba mapemaaa.. lakni ndo yakafanyika yaleeee FIGISU kubadilisha hii.. kuweka hii... ndipo akaibuka POMBE. kiukweli kulikuwa hakuna namna.. nikikumbuka ile kauli ya JAKAYA siku hiyoo ya uteuzi.. alisema ''WAJUMBE LEO HAPA KINAELEWEKA.. TUNAPIGA KURA.. TUNAHESABU.. TUNATANGAZA MSHINDI WETU... na KESHO TUNASHEREHEKEA..
ghafla kilichotokea mpaka wa leo imebaki kwenye uvungu.. TUNAAMBIWA na JAKAYA... ''WAJUMBE TUNAAHIRISHA KIKAO/MATOKEO MPAKA KESHO ASUBUHI SAA NNE.. WAJUMBE TUKUTANE KESHO TUNAWAONGEZEENI SIKU MOJA YA KUJIRUSHA HAPA DOM.
Huyu mama kwa mtizamo wangu ndiye alipaswa kupewa umakamu kwa kuwa kafanya uungwana mkubwa kukubali yaishe..
kilichomponza ni ile kauli ''wajumbe wa mh. LUWASA najua mpo wengi humu ukumbini.(Ni wale walioimba wakati mh. JAKAYA anaingia ukumbini... TUNAIMAAAANI NA LUWASAAAAA OYAAA.. OYAAA OYAAAA) NAZIOMBA KURA ZENU WAJUMBE tutashirikiana pamoja''
hapaaa ndo alipoharibu. lkn mwishoe ndo kaja mwanamama mwingine from no where!! kaibuliwa kapewa UMAKAMU bila jasho lolote.. hii ni kumuonyesha mama FATUMA aliharibu kumtaja LUWASA. (SUMU YA CCM).

Kwahiyo niishie kusema tu ZANZIBER wapo wa kumrithi SULUHU. wachaendezake.
 
Back
Top Bottom