Kimya cha VP, Bi Samia Suluhu tukitafsiri vipi?

Babu atakuwa bado hajamkabidhi ule Mkasi aliokuwa anauweka kwenye koti la suti
 
Last edited by a moderator:
Bosi wake Ndugu Magufuli anapiga kazi kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saaa 4 usiku. Monday to Monday. Na impact yake ishaanza kuonekana

sasa kimya cha makamo wa Rais bi Samia Suluhu kinaashiria nini? Ina maana kashaanza kum sabotage bosi wake au ndio insubordination au ndio yeye hajali kabisaa na haa matatizoyetu hayajali?

Kwa kuwa serikali yetu inafanyakazi kwa style ya MANAGEMENT BY WANDERING AROUND (MBWA), iweje huyu mama ashindwee kwenda TRA, TRC, TPA na kutuambia ofisi yake inafanya nini kumsaidia Ndugu Magufuli?

Kama ataendelea kukaa kimya bora aondoke ili tuletewe mwingine mchapakazi (kwa zanzibar sina hakika kama wapo wanawake ambao wanapiga au wanaweza kwenda na spidi ya ndugu magufuli) , Kama wapo nashauri magufuli awe na list yake stand by. HUyu Suluhu sioni tofauti yake na saada mkuya

Under Magufuli kuna job description?

Wewe umeamua kutukana watu pasipo sababu ya msingi
 
Yes litavunjwa tu kama limejengwa kinyume na sheria..kwan jengo kitu gani kwa serikali...waliweza kubomoa nyumba za watu why nt gvt....leta hoja yenye mashiko

Asante umempa vidonge vyake nashukuru kwa kunisaidia kumjibi
 
Kwa kumbukumbu zako ulikuwa unamsikia Bilali enzi za Kikwete? Hutamsikia labda ashike yeye nchi kama Pombe hayupo.
Bosi wake Ndugu Magufuli anapiga kazi kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saaa 4 usiku. Monday to Monday. Na impact yake ishaanza kuonekana

sasa kimya cha makamo wa Rais bi Samia Suluhu kinaashiria nini? Ina maana kashaanza kum sabotage bosi wake au ndio insubordination au ndio yeye hajali kabisaa na haa matatizoyetu hayajali?

Kwa kuwa serikali yetu inafanyakazi kwa style ya MANAGEMENT BY WANDERING AROUND (MBWA), iweje huyu mama ashindwee kwenda TRA, TRC, TPA na kutuambia ofisi yake inafanya nini kumsaidia Ndugu Magufuli?

Kama ataendelea kukaa kimya bora aondoke ili tuletewe mwingine mchapakazi (kwa zanzibar sina hakika kama wapo wanawake ambao wanapiga au wanaweza kwenda na spidi ya ndugu magufuli) , Kama wapo nashauri magufuli awe na list yake stand by. HUyu Suluhu sioni tofauti yake na saada mkuya
 
Kazi ya VP ni kukata tepe tu,we subiri vijihafla vya uzinduzi utamwona
 
Pamoja na kuwa mimi ni ukawa, lakini mama Samia ana hekima kwa asilimia sabini, ni vigumu kufanya kazi na Pombe mwenye hekima asilimia kumi na moja tu. Vurugu tupu. Muda si mrefu Pombe ataamuru jengo la Tanesco pale Ubungo livunjwe.

tunataka maendeleo habari zenu za hekima ndio zimetufikisha hapa. majambazi na wala rushwa unataka washughulikie kwa namana ganai?

inawezekana hata neno hekima hulijui maana yake wewe
 
Hivi unategemea aongee nini hasa? VP huwa hana kazi kama Rais wa nchi hajasafiri au anaumwa. Kazi za VP mara nyingi ni kufungua na kufunga washa, kuzindua miradi ya maendeleo na mbio za mwenge. Wadhifa huu kwa sasa hauna thamani kwa vile huwa ni wa kupachikwa tu kwa vile katiba ya nchi inataka hivyo. Afadhali kipindi kile cha chama kimoja ambapo makamu wa rais alikuwa pia Rais wa Serikali ya mapinduzi Zanzibar ikiwa rais wa JMT atatoka bara, atakuwa pia Waziri Mkuu kama Rais wa JMT atatoka Zanzabar. Ni afadhali na yeye angekuwa anateuliwa kutoka ndani ya wabunge wateule.
 
kama hana kazi kwa nini anaishi kwa kodi zetu?

magufuli anasema asiyefanya kazi na asile
 
Napenda usawa wa jinsia ila suala la kumpa mwanamke madaraka ili kupruv tu tunatenda haki na kumpa rais tuzo ni upuuz!!! Wanawake tupewe chance kama kweli tunaweza ila kama hatuwez ni bora huko bungen wawe wanawake 2 wa nguvu wanaojielewa kuliko kua na wabunge 100 wanawake kazi yao ni kujichubua na kupigapiga zile mbao!!!Mama samia tutaona utendaji wake ila kama atakua na hulka za wanawake weng wa pemba itakua ni kazi!!! Ila kwa spid hii ya JPM ilibd awe ameonekana hata mara moja tu!? Si alisema atasaidia kina mama hasa wanaozalia sakafuni??? Au sshv hakuna ila tatzo na wodi za wazazi hazipo??? Angetembelea basi kina mama wamuone!!! Ungekua uwezo wangu hata viti maalum ningemix wanawake na wanaume kupata ubunge kisa unavaa gauni ni upuuz!!
 
Bosi wake Ndugu Magufuli anapiga kazi kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saaa 4 usiku. Monday to Monday. Na impact yake ishaanza kuonekana

sasa kimya cha makamo wa Rais bi Samia Suluhu kinaashiria nini? Ina maana kashaanza kum sabotage bosi wake au ndio insubordination au ndio yeye hajali kabisaa na haa matatizoyetu hayajali?

Kwa kuwa serikali yetu inafanyakazi kwa style ya MANAGEMENT BY WANDERING AROUND (MBWA), iweje huyu mama ashindwee kwenda TRA, TRC, TPA na kutuambia ofisi yake inafanya nini kumsaidia Ndugu Magufuli?

Kama ataendelea kukaa kimya bora aondoke ili tuletewe mwingine mchapakazi (kwa zanzibar sina hakika kama wapo wanawake ambao wanapiga au wanaweza kwenda na spidi ya ndugu magufuli) , Kama wapo nashauri magufuli awe na list yake stand by. HUyu Suluhu sioni tofauti yake na saada mkuya

Kwako kuna utepe aje akukatie!
 
Tangu aapishwe Magufuli ana Mondays ngapi zimepita? Samia anavuta kasi ingawa pia anafanya kazi nyuma ya pazia kama job description yake ilivyo
 
Back
Top Bottom