Vaislay
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,532
- 1,822
kwahiyo watu wananguvu kuliko polisi?watu walikuwa wengi sana kama 800 hv polisi wasingeweza..
kwahiyo watu wananguvu kuliko polisi?watu walikuwa wengi sana kama 800 hv polisi wasingeweza..
mkuu hapo kwenye red haujafika huo muda?kama dakika 20 hv zimepita hapa moshi stendi demu 1 kachaniwa nguo zake live hpa stend sababu nguo hiyo ilikuwa fupi saaana so watu wakaamua kuchukua sheria mkononi...dah ni noma demu hafai yani, ila thanks kwa polisi waliomsaidia kumpakiza kwenye gari ila ilikuwa too late...ma sista du wa dar karibuni moshi...picha badae kidogo ntawaletea
Sema ww ndo mbumbumbu!!!! si alikuwa anakaribia kuonyesha watu sehem zake nyeti?? acha wamsaidie zibaki wazi kabisa ili watu tujue moja kuwa amedhamiria!!! kuliko kuacha nusunusu!!!! safi sana hio!!!Watanzania bado sisi ni mbumbumbu sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,..tunashindwa kufanya mambo ya muhimu tunabakia kuwadhalilisha dada zetu . hao wote waliofanya huo ujinga ni kupiga ndani jela mahabusu wakanyee debe ...
Huo ni ukiukwaji mkubwa wa khaki za binadamu, kama yeye amevaa kimini wengine inawahusu nini? Na ukifanya utafiti utagundua kuwa wale wanaowazomea ama kuwachania nguo ni wazinzi wakubwa.
Yeye anavyoonyesha vinyama vyake wewe inakuhusu nini ? na je kumvua nguo ndio kuficha vinyama vyake visionekane, Haya mambo ya kuingilia maisha ya watu ni ufinyu wa fikra
watu walikuwa wengi sana kama 800 hv polisi wasingeweza..
Mkuu nashindwa kuelewa uhusiano baina ya David Cameron na mtu kuzalilishwa kwa kuvuliwa nguo. Tuache kupenda kulazimisha hisia zetu kwenye maisha ya watu, kama vile yeye alivyokosea kutaka ku-dictate sisi tufanye nini, ndivyo hivyo hivyo hao watu wamekosea kwa kutaka kudictate watu wavae nini (tena wanavuka hatua ya kutoa hata kile kidogo alichojisetiri kwa kumuacha uchi..)basi tumwambie kamerun aje c uhuru wa watu usiingiliwe.
Yeye anavyoonyesha vinyama vyake wewe inakuhusu nini ? na je kumvua nguo ndio kuficha vinyama vyake visionekane, Haya mambo ya kuingilia maisha ya watu ni ufinyu wa fikra
Kweli huo ni uonevu.Hapo polisi nao hawajui majukumu yao
Mbali ya Shule na baadhi ya maofisi/taasisi,sijawahi kusikia popote kama katika nchi yetu kuna Dressing code,na kama ipo basi naomba nieleweshwe inasemaje katika swala la uvaaji.Walichokifanya hao wahuni wa moshi ilikuwa ni kutengeneza sababu tu wapate mkusanyiko wa watu ili waweze kuwaibia vizuri,kwani nani asiyejua jinsi Moshi ilivyojaa vibaka.Kisheria huyo binti kama angeweza kuwakariri sura hata wawili tu angewafunga miaka 30 jela kwa sheria mpya ya ubakaji.Kimini ni chake kinawahusu nini hao wahuni?Kama wangekuwa wanafuatilia hayo maadili na wanasikia kinyaa kuona vitu hivyo si wangewashambulia wehu waliojazana mjini hapo wakitembea utupu kabisa.
Ukosefu wa kazi na pia kupenda ku mind biashara za watu wengine. Sisi Watanzania watu wa ajabu sana. Huku tunapenda na kukumbatia mambo ya western world huku tunajidai kupinga uvaaji. Ndio mambo ya utandawazi haya, the two are inseparable na sijui mtachana vimini vingapi maana this is just the beginning.
Ukosefu wa kazi na pia kupenda ku mind biashara za watu wengine. Sisi Watanzania watu wa ajabu sana. Huku tunapenda na kukumbatia mambo ya western world huku tunajidai kupinga uvaaji. Ndio mambo ya utandawazi haya, the two are inseparable na sijui mtachana vimini vingapi maana this is just the beginning.
Hamna mtu aliyedhalilishwa hapo. Kama ni kweli huyo dada alivaa kimini, wacha wamchanie bana, maana kama unataka kufanya kitu fanya hicho kitu kikamilifu. Sasa wewe unataka watu waone uchi halafu unaonesha nusunusu matokeo yake ndiyo hayo watu wanakusaidia kufikia malengo...upo hapo?Watanzania bado sisi ni mbumbumbu sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,..tunashindwa kufanya mambo ya muhimu tunabakia kuwadhalilisha dada zetu . hao wote waliofanya huo ujinga ni kupiga ndani jela mahabusu wakanyee debe ...