Kimenuka Tarime, Heche asakwa na Polisi

Kimenuka Tarime, Heche asakwa na Polisi

Afadhali JK anaomba kwa maslahi ya Taifa , zile pesa wanazochangisha CDM wakiwa wavekwiva kwenye suti kwenye mahoteli makubwa hapa nchini kusafisha fedha haramu wanazoletewa na wazungu hao hao zinafanya nini?

Kwenye red: Tafsiri yake ni kwambwa serikali ya CCM imeshindwa kudhibiti uingizaji wa fedha haramu! Na hapo bado kuna mihela huko Swiss! Kwa mtindo huo CCM inakosa uhalali wa kusimamia vyombo vya dola because they (CCM) are simply out of order!
 
UPDATES:
Nimezungumza na kamanda Heche muda mfupi uliopita, amenifahamisha kwamba amepigiwa simu na kaimu kamanda wa polisi kanda maalum ya Tarime Rorya ili afike kituoni kwa mahojiano.
Sasahivi ndio anaelekea kituo cha polisi Tarime mjini kwa ajili ya mahojiano hayo.

Taarifa za ndani kabisa toka polisi Tarime ni kwamba kuna shinikizo/maelekezo toka juu kwamba Heche akamatwe ama akijisalimisha azuiliwe mahabusu ya polisi hadi kesho atakapopandishwa kizimbani.

Nadhani wale mliopo Tarime mnaweza kufuatilia kwa karibu na kutujuza kinachojiri huko.
Mwita Maranya, nakushauri uweke hii update kwenye main stori (thread yenyewe)
Thank for updates.

Kwenye red: Tafsiri yake ni kwambwa serikali ya CCM imeshindwa kudhibiti uingizaji wa fedha haramu! Na hapo bado kuna mihela huko Swiss! Kwa mtindo huo CCM inakosa uhalali wa kusimamia vyombo vya dola because they (CCM) are simply out of order!

Sioni kitufe cha like great thinker wangu.
 
Afadhali JK anaomba kwa maslahi ya Taifa , zile pesa wanazochangisha CDM wakiwa wavekwiva kwenye suti kwenye mahoteli makubwa hapa nchini kusafisha fedha haramu wanazoletewa na wazungu hao hao zinafanya nini?

Nini maana ya fedha haram?Ni nan ana wafadhili kila kona kama si CCM?Dhambi ya CDM kuwa na fedha za wafadhi(donors) iko wapi? Kwani nani aliyesema kuwa CDM haina pesa kabisa na kwamba hiyo ndo ilikuw sababu ya kuchangisha? Na mlitaka wakachangishie wapi,bar,kwenye mgahawa,club,au kanisani?kumbukeni the target group determines where you should summon them..magamba achen majungu. Mna hoja hafifu,mmelewa sifa na madaraka. Sio lazima kusema kama huna cha kusema. In fact, magamba mlitaka tu umma ujue kuwa kuna donorz wameipa pesa cdm na hakukuw na chembe ya kashfa on that..
 
Kwani lipi la Uongo hapo?
Nchi ambayo kila siku inaomba misaada tu wanataka iitweje?
Nchi ambayo ndege inatua na kubeba Twiga na Tembo wanataka iitweje?
Nchi ambayo Ndege inatua na kubeba madini bila kuhakikiwa Wanataka iitweje?
Rais anayeenda kuomba omba Misaada kila kukicha mnataka aitweje?

CCM hawajielewi. Udhaifu wao unazd kuwa mkubwa
 
Kama maneno aliyosema Heche ndio hayo, ajitokeze tu, wala aisjifiche mpaka atafutwe na polisi. Hakuna mtu anayeweza kumdhuru kwa kusema hayo. Hivi huo mkutano uliofanyika Sirari ndio miongoni mwa mikutano iliyopigwa marufuku na mwenyekiti wa CDM wilaya? isije kuwa anatafutwa kwa kushtakiwa na mwenyekiti wake wa chama...
 
Afadhali JK anaomba kwa maslahi ya Taifa , zile pesa wanazochangisha CDM wakiwa wavekwiva kwenye suti kwenye mahoteli makubwa hapa nchini kusafisha fedha haramu wanazoletewa na wazungu hao hao zinafanya nini?

Kumbe na wewe ni 'NAPE'?
U ar too cheap yan siwezi kukujibu...
 
Afadhali JK anaomba kwa maslahi ya Taifa , zile pesa wanazochangisha CDM wakiwa wavekwiva kwenye suti kwenye mahoteli makubwa hapa nchini kusafisha fedha haramu wanazoletewa na wazungu hao hao zinafanya nini?

Maslahi ya Taifa lipi?
Wale Twiga na Tembo waliopo pale Karachi Pakistani ni kwa manufaa ya Taifa lipi?
Ndege zinazotua migodini na kuondoka na madini ni kwa manufaa ya Taifa lipi?
Deni la Taifa limepanda ni kwa Manufaa ya nani? Kabla hujaongea nakushauri ujiridhishe kwanza kuwa uko kwenye 'whiteline' na siyo 'redline'
 
Siku zote ukweli unauma, chanzo cha umasikini wa Tanzania ni uongozi mbovu na dhaifu wa CCM na JK ndiye rais dhaifu kuliko wote waliomtangulia akatae akubali huo ndiyo ukweli.
 
Kwa maslahi yapi uliyoyaona kwa awamu hii ya kikwete...unajua deni la taifa kwa sasa ni kiasi gani? unakumbuka wakati anaachiwa nchi hazina kulikuwa na kiasi gani? je deni likuwa kiasi gani?...vipi bei ya vyakula nikupe mfano kikwete anachukua nchi bei ya mchele ilikuwa TZS 650 sasa hivi mpaka TZS 3000, kiberiti 25 sasa hivi 100...ngoja nikomee hapo

Msamehe bure tu uliyem-quote hapo juu.
Tumekunywa soda kwa shilingi 200/- miaka karibia 10. Tumepanda daladala kwa 150/- karibia miaka 10. Kuingia huyu jamaa madarakani maisha yamekuwa magumu sana. Heche, kama nilivo mimi mlipakodi, ana haki ya kulalamikia hali ngumu ya maisha tuliyonayo. Serikali haina mkakati wowote wa kujitegemea kibajeti kwa 100% ndani ya miaka 10 ijayo, kila siku kuombaomba tu.
 
Mnajua maana ya kukashfu??!! Hayo yote hapo si kaongea ukweli au?
 
Kwani kamkashifu au kasema ukweli?kweli anaenaenda kuleta neti wenzake wanabeba madini.hilo jeshi la nyinyiemu police wanaendelea na kazi za kutengeneza movie zao.
naunga mkono hoja mia kwa mia!
 
Back
Top Bottom