Kimenuka Tarime, Heche asakwa na Polisi

Ila sikufuraishwa na kauli yake kuwa atagombea ubunge iwapo chama kitamruhusu haya ndio mambo yaliyofanya tumshukie zitto alipotangaza nia yake ya kugombea urais sasa hivi ni wakati wa kupiga kazi ya kueneza sera na mtandao wa chama ili ikifika 2015 mgombea yoyote atakayeteuliwa awe na uhakika wa kupita lakini mkianza sasa hivi kuna Mwita aliyegombea uchaguzi uliopita naye ataanza kampeni hivyo badala ya kujenga chama mtajenga makundi ambayo hayana faida kwa chama kumbuka Tarime ilikuwa ngome ya cdm ila kutokana na kuhitilifiana jimbo lilienda kwa CCM naomba msirudie tena yale makosa mnaweza kumlaumu mwenyekiti wa CDM wilaya anatumiwa na CCM ila ukifatilia utakuta ni siasa za ndani za CDM
 
Kwa maslahi yapi uliyoyaona kwa awamu hii ya kikwete...unajua deni la taifa kwa sasa ni kiasi gani? unakumbuka wakati anaachiwa nchi hazina kulikuwa na kiasi gani? je deni likuwa kiasi gani?...vipi bei ya vyakula nikupe mfano kikwete anachukua nchi bei ya mchele ilikuwa TZS 650 sasa hivi mpaka TZS 3000, kiberiti 25 sasa hivi 100...ngoja nikomee hapo

Kwani Nchi kuwa na deni Ni dhambi. Hata USA Ina madeni. Mbona cha dema ilitembeza bakuri Juzi.
 
Heche ni mtu ambaye hana upeo wowote zaidi ya kuongea kwa jazba tu anasema Rais anaomba sana mbona yeye Heche mwenyewe bado anakaa kwa kaka yake Sinza.

Hata kama anakaa kwa Shangazi yake manzese, haimpotezei sifa ya kuwa mbunge!
 
Mwita Maranya ina maana Mwenyekiti wa CDM Tarime alikuwa anataka kumzuia John Heche asifanye mikutano? Sababu ni nini?

Hili swali limeulizwa sana! Lakini kuna thread iliwekwa jukwaa hili iliyokuwa na barua ya huyo m/kiti kwenda jeshi la polisi inayoeleza sababu. Ilikuwa inasema kwamba hakuwa na taarifa!
 
Last edited by a moderator:
haya sasa mura pambana wakurya wajisifie kuwa na kijana mkira mwenye msimamo tulete mapinduzi kwenye ji,bo letu mura nakuaminia sana mura weito
 
fafanua hapo mwanzoni. Mwenyekiti wilaya chadema kuandika barua polisi kusitisha mikutano ya mwenyekiti BAVICHA... hii kama haijakaa sawa.!
kuna habari nimeisoma inaonesha kwa barua kabisa jinsi huyu mwenyekiti alivyoandika barua polisi yaani huyu mwkt km ni chadema basi anatumiwa bila hawa ndio wanaoyumbisha chama
 
kuna habari nimeisoma inaonesha kwa barua kabisa jinsi huyu mwenyekiti alivyoandika barua polisi yaani huyu mwkt km ni chadema basi anatumiwa bila hawa ndio wanaoyumbisha chama
Anatumiwa vp? hata kama taratibu hazijafuatwa? mwenyekiti bavicha aingie tu wilayani kwake bila wenyeji(mwenyekiti) wake kufahamu lolote?
 
Back
Top Bottom