Kimenuka Kihonda Morogoro Wananchi wafunga tena barabara

Kimenuka Kihonda Morogoro Wananchi wafunga tena barabara

Naungana nao 100%
tunamabomba ya maji na hayatoi maji,kazi yao ni kutuuzia maji kwa magari yao,hii haikibaliki na nimewahi shiriki kikao juu ya hilo,lakini wapi hakuna kinachofanyika,labda sasa wataleta maji.maana ni haki ya mtanzania kupata maji safi na salama,kihonda hadi leo hakuna umeme na ni eneo ambalo lipo mjini na lenye watu wengi kuliko maeneo yote morogoro mjini.
 
Mkuu,mi mwenyewe nilikua huko siku si nyingi,by the way natokea mkoa huo....hilo tatizo la hapo ni kubwa sana....kuanzia mkurugenz wa MORUWASA,ni corrupt sana huyo mzee...pesa zote wanaishia kuzila tu....Hapa ninapofanyia kazi kuna kampuni moja tuliwapa mkopo ili waka'supply mita za maji pale MORUWASA...ni zaidi ya miaka miwili hajalipwa.....nadhani umeanza kunipata...kuna uozo mkubwa sana Mamlaka ya Maji Morogoro.....Solution wangeenda Mindu wazime ile mitambo ili kinuke zaidi,kuwazuia abiria hakutawapa tija....MINDU NDIO MPANGO MZIMA....

yaani kwa siku za karibun nimeshangazwa na tatizo la maji moro,me mwenyewe nipo dar na nilizoea nikiwa moro(nyumbani) naoga maji ya shower,lakin siku hizi thubutuuu
 
morogoro wamezidi kuchagua watu wa ajabu wala si wakuwahurumia

hata sehemu ambako wamechaguliwa watu ambao unahisi 'si wa ajabu'sidhan kama kuna unafuu mdau,haya niambie wapi kuna unafuu,shida ya maji UBUNGO NI SAWA NA KERO YA MAJI MWANANYAMALA,MGAO WA UMEME KAWE SAWA NA KUKATIKA KWA UMEME KILOMBERO,SHIDA YA BARABARA MEATU NI SAWA NA TATIZO LA USAFIRI UKONGA,
MAANA MWISHO WA SIKU HAYA YOTE YANAFANYWA NA SERIKALI NA SI MBUNGE
 
Naungana nao 100%
tunamabomba ya maji na hayatoi maji,kazi yao ni kutuuzia maji kwa magari yao,hii haikibaliki na nimewahi shiriki kikao juu ya hilo,lakini wapi hakuna kinachofanyika,labda sasa wataleta maji.maana ni haki ya mtanzania kupata maji safi na salama,kihonda hadi leo hakuna umeme na ni eneo ambalo lipo mjini na lenye watu wengi kuliko maeneo yote morogoro mjini.
kwa sensa ya mwaka jana?
Nadhan maji ni tatizo la moro nzima si kihonda tu,
 
hii serikali ilisha achiwa laana.

nani aloiachia laana,LOWASA?,SUMAYE?,STEVEN MASHASHANGE?,MKAPA?,MAKAMBA?,MZEE KINGUNGE?,SALIM AHMED SALIM?,AU NANI?....WANANCHI NA VIONGOZI TUJITAZAME UPYA TU,MAMBO YATAKAA SAWA
 
kwa sensa ya mwaka jana?
Nadhan maji ni tatizo la moro nzima si kihonda tu,

si kweli,we unaishi maeneo gani?
1.maeneo ya mazimbu maji yanapatikana muda wote
2.maeneo ya kingo-maji yapo
3.maeneo ya mjini-ccm wilaya-ccm mkoa,maji yapo
4.maeneo ya mindu-maji yapo
5.maeneo ya madaganya-maji yapo baadhi ya maeneo
6.maeneo ya chamwino,maji yapo
7,maeneo ya kigurunyembe-yapo maji kibao yakutosha
maeneo ya kihonda-mji mpya-elu hadi kwa chambo ni matatizo tupo,ktk kuishi kwangu kule nimekuwa nikiagiza gari la maji kwa 80,000 kila mwezi.

wewe sema wapi unaishi.acha ubabaishaji
 
Back
Top Bottom