Antar bin Shaddad
JF-Expert Member
- Oct 11, 2010
- 202
- 102
wamefunga barabara kisa hawana maji tangu uhuru? kama sababu ni hiyo then hao wananchi wa morogoro ni wapuuzi coz ni kuwaletea adha hao wananchi wanaosafiri leo ambao pia huku walikotoka pia hawana maji!