majany
JF-Expert Member
- Sep 30, 2008
- 1,223
- 586
Mkuu wenzako wana shida weye unawadhihaki.......kutoka kihonda hadi mindu? haya bwana nafikiri kikinuka zaidi Pinda atapitia hapo kusuluhisha mambo
Mkuu,mi mwenyewe nilikua huko siku si nyingi,by the way natokea mkoa huo....hilo tatizo la hapo ni kubwa sana....kuanzia mkurugenz wa MORUWASA,ni corrupt sana huyo mzee...pesa zote wanaishia kuzila tu....Hapa ninapofanyia kazi kuna kampuni moja tuliwapa mkopo ili waka'supply mita za maji pale MORUWASA...ni zaidi ya miaka miwili hajalipwa.....nadhani umeanza kunipata...kuna uozo mkubwa sana Mamlaka ya Maji Morogoro.....Solution wangeenda Mindu wazime ile mitambo ili kinuke zaidi,kuwazuia abiria hakutawapa tija....MINDU NDIO MPANGO MZIMA....