usipotoshe umma mkuu abood ana redio yake,RADIO IMAAN ya waislam wanaojitambua!morogoro ni kama tabora wakiona ngozi nyeupe inaomba ubunge wanashobokea, haya sasa pamoja na morogoro kuwa na milima vyanzo vya maji lukuki wanataabika
Hakuna mdau aliyeko Kihonda au mwenye jamaa maeneo yale ampigie simu ili tujue kama wamesitisha maandamano au wameafikiana nini na manispaa? Inakera kukosa maji hali tunakimbiza mwenge!
waanze na mbunge wao,wamuulize ameifanyia nini kihonda
kama serkali haiwezi si iachie ngazi? sasa huoni ni ulimbukeni kung'ang'ania uongozi bila kuwa na uwezo wa kuongoza?hata sehemu ambako wamechaguliwa watu ambao unahisi 'si wa ajabu'sidhan kama kuna unafuu mdau,haya niambie wapi kuna unafuu,shida ya maji UBUNGO NI SAWA NA KERO YA MAJI MWANANYAMALA,MGAO WA UMEME KAWE SAWA NA KUKATIKA KWA UMEME KILOMBERO,SHIDA YA BARABARA MEATU NI SAWA NA TATIZO LA USAFIRI UKONGA,
MAANA MWISHO WA SIKU HAYA YOTE YANAFANYWA NA SERIKALI NA SI MBUNGE
Kwa mara ya mwisho police walikuwa wanazibua mafungo mbele, nyuma mwananchi wanaweka mpya wakaZida wakaomba msaada wa police kuongezwaaa...... wananchi wakawa wanamtaka mkuu wa wilaya.
mkuu uko sawa maana kwa mwenye akili hawezi ongea aliyeonge huyo jamaaNdo matatizo ya kuhamisha fikira toka kichwani na kupeleka chini ya kiuno upande wa nyuma..
Lakini tukiwa watu makini, tusisahau kauli ya padri slaa, iliyolenga kuchagua amani yetu. Alituambia kua nchi hii haita tawalika.
kazi ipoMbunge haelewani na Meya na watendaji wa Halmashauri. Je huyu Mbunge atawezaje kuwapatia maendeleo wananchi?. Sana sana anachoweza ni kuwapigania machinga wazibe barabara na kuchafua mji. Hata hivyo ni wanachi hawa hawa wanaofunga barabara waliomkataa Prof ili wawakilishwe na huyu Form IV failure. Waendelee kuvumilia hayo mateso mpaka 2015 ili wachague Mbunge anayeweza kuwatetea
Mbunge haelewani na Meya na watendaji wa Halmashauri. Je huyu Mbunge atawezaje kuwapatia maendeleo wananchi?. Sana sana anachoweza ni kuwapigania machinga wazibe barabara na kuchafua mji. Hata hivyo ni wanachi hawa hawa wanaofunga barabara waliomkataa Prof ili wawakilishwe na huyu Form IV failure. Waendelee kuvumilia hayo mateso mpaka 2015 ili wachague Mbunge anayeweza kuwatetea