Kimenuka Kihonda Morogoro Wananchi wafunga tena barabara

Kimenuka Kihonda Morogoro Wananchi wafunga tena barabara

Waende pale Mindu,maji ni mengi kama nn...
 
Mwaka wa shetani nini huu??? Kila mahali kinanuka
 
Wananchi wameamua kudai huduma ya maji kwa nguvu,kwani Mbunge wa eneo hilo ni nani?
 
Nikutoka na kukosa maji tangu uhuru, magari yatokayo dodoma na yaendayo hayapiti alini tete polisi wamezidiwa

SOURCE: Itv breaknewz

Mbunge wao yupo busy na nini?, mbona sijasikia amesaidia watu kwanye mahitaji ya kijamii kama maji, zaidi ni kutoa usafiri bure kupekeka waombolekezaji kwenda kuzika inapotokea msiba.
kazi mnayo mliyempigia kura, mlimpigia awasaidie kutoa usafiri kwenda kwenye maziko?
 
Ndio changamoto za uongozi wa juu hizo,Urais sio kazi rahisi
 
si walifurai walipopewa LEYLAND ya kuzikia wakasahau mambo ya msingi...hata hivyo hawajachelewa wakazane hakuna kurudi nyuma.!
 
We cannot defeat injustice by becoming more inferior before it, but by becoming more superior against it.
Let non violence reign among them all the time of their (exhibition) demonstration. Get my five!
 
Back
Top Bottom