Kimenuka! Ali Kamwe apewa saa 24 amuombe radhi RC wa Tabora kwa kauli zake

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Tabora United Christina Mwagala amempa saa 24 Afisa Habari wa Yanga SC, Ali Kamwe awe amemuomba radhi Mlezi wa Timu ya Warina asali wa Tabora, Tabora United.

Hayo yamejiri baada ya Ali Kamwe kujibu kauli za Mkuu wa Mkoa wa Tabora ambaye ndio Mlezi wa Timu ya Tabora Bw. Paulo Chacha ikitafsiriwa kuwa ni kumkebehi mteule huyo wa Rais.

Ujinga mtupu

We ukiwa mkuu wa mkoa ukaanza kujiingiza kwenye mamipira usitake uchukuliwe kama mteule wa Rais, utachukuliwa na utajibiwa kama shabiki mwingine wa kawaida tu.

Wenyewe mlianza kuongea ushabiki mkijibiwa kishabiki mnapaniki. Akiambiwa aoneshe ushahidi wa meseji walizolipwa wachezaji wa Tabora wacheze chini ya kiwango atatoa?

Yeye alianza kuongelea mapokezi ya Ali kamwe ulitegemea nini?

Msilete siasa kwenye michezo. Huyo mkuu wa mkoa anapenda sana majukwaa na makamera, ipo siku atafurahishwa hataamini!
 
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Tabora United Christina Mwagala amempa saa 24 Afisa Habari wa Yanga SC, Ali Kamwe awe amemuomba radhi Mlezi wa Timu ya Warina asali wa Tabora, Tabora United.

Hayo yamejiri baada ya Ali Kamwe kujibu kauli za Mkuu wa Mkoa wa Tabora ambaye ndio Mlezi wa Timu ya Tabora Bw. Paulo Chacha ikitafsiriwa kuwa ni kumkebehi mteule huyo wa Rais.

View attachment 3289839
Halafu asipomuomba hiyo radhi ndani ya hayo masaa aliyompa, atamfanya nini na wakati huyo Mlezi wake mwenyewe hajitambui?
 
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Tabora United Christina Mwagala amempa saa 24 Afisa Habari wa Yanga SC, Ali Kamwe awe amemuomba radhi Mlezi wa Timu ya Warina asali wa Tabora, Tabora United.

Hayo yamejiri baada ya Ali Kamwe kujibu kauli za Mkuu wa Mkoa wa Tabora ambaye ndio Mlezi wa Timu ya Tabora Bw. Paulo Chacha ikitafsiriwa kuwa ni kumkebehi mteule huyo wa Rais.

View attachment 3289839
Waambieni Wakuu wa Mikoa wakae mbali na yasiyowahusu. Mwingine juzi kamuingiza Ahmed Ally kwenye issue ya uwekezaji utadhani na yeye ni mvuvi.
 
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Tabora United Christina Mwagala amempa saa 24 Afisa Habari wa Yanga SC, Ali Kamwe awe amemuomba radhi Mlezi wa Timu ya Warina asali wa Tabora, Tabora United.

Hayo yamejiri baada ya Ali Kamwe kujibu kauli za Mkuu wa Mkoa wa Tabora ambaye ndio Mlezi wa Timu ya Tabora Bw. Paulo Chacha ikitafsiriwa kuwa ni kumkebehi mteule huyo wa Rais.

View attachment 3289839
Acheni kuitisha watu Mkuu wa mkoa siyo Msimamizi wa soka. Akiingia kwenye soka Huyo ni Shabiki kama wengine akitaka heshima abaki na nafasi yake.
 
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Tabora United Christina Mwagala amempa saa 24 Afisa Habari wa Yanga SC, Ali Kamwe awe amemuomba radhi Mlezi wa Timu ya Warina asali wa Tabora, Tabora United.

Hayo yamejiri baada ya Ali Kamwe kujibu kauli za Mkuu wa Mkoa wa Tabora ambaye ndio Mlezi wa Timu ya Tabora Bw. Paulo Chacha ikitafsiriwa kuwa ni kumkebehi mteule huyo wa Rais.

View attachment 3289839
Kimtu hakina heshima kwa baba yake mzazi kinawezaje kumheshimu mtu mwingine?

Nyuma mwiko inawapa jeuri sana hawa watu
 
Yanga ni kubwa huyo Mkuu wa mkoa wa Tabora ajichunge, Yanga inaweza kumtoa kwenye hicho cheo
Yanga Iko Tabora atulie mechi ipigwe maisha yaendelee acha maneno ya kubagua
Hamna lolote, hamna uwezo wa kumtoa yoyote serikalini. Acheni kujipa maujiko yasiyo yenu bwana
 
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Tabora United Christina Mwagala amempa saa 24 Afisa Habari wa Yanga SC, Ali Kamwe awe amemuomba radhi Mlezi wa Timu ya Warina asali wa Tabora, Tabora United.

Hayo yamejiri baada ya Ali Kamwe kujibu kauli za Mkuu wa Mkoa wa Tabora ambaye ndio Mlezi wa Timu ya Tabora Bw. Paulo Chacha ikitafsiriwa kuwa ni kumkebehi mteule huyo wa Rais.

View attachment 3289839
Hii Jinsia hii
 
mkuu wa mkoa kautaka,kamwe kampa analia mwingine
 
Back
Top Bottom