This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,184
- 5,426
Mbona unajipa majukumu ambayo yamekuzidi?Ujinga mtupu
We ukiwa mkuu wa mkoa ukaanza kujiingiza kwenye mamipira usitake uchukuliwe kama mteule wa Rais, utachukuliwa na utajibiwa kama shabiki mwingine wa kawaida tu.
Wenyewe mlianza kuongea ushabiki mkijibiwa kishabiki mnapaniki. Akiambiwa aoneshe ushahidi wa meseji walizolipwa wachezaji wa Tabora wacheze chini ya kiwango atatoa?
Yeye alianza kuongelea mapokezi ya Ali kamwe ulitegemea nini?
Msilete siasa kwenye michezo. Huyo mkuu wa mkoa anapenda sana majukwaa na makamera, ipo siku atafurahishwa hataamini!
Kwa hiyo ww kwa akili zako finyu unachukulia kwamba RC hana taarifa au hana vyanzo vya habari kwa jambo dogo km hilo.
Una upeo finyu kupindukia.