Pambano kali sanaHawa Ibrahim na Nassib ni boxers wazuri sana
Sana mkuuMchezo umekua mtamu
Wako vizuriRound ya kwanza imeisha vizuri kwa hawa jamaa.
Wanaonekana ni very professionals.
Nilikuwa siwajui, nitawafuatilia zaidiPambano kali sana
Wako vizuri
Sitegemei kama Main Card itakuwa na mvuto, Dulla Mbabe hana skills anategemea power, Twaha kiduku naye ni mtu wa kuswing sana. Hawa wanapigana kiprofessional sanaSana, nimependa jinsi wanavyopigana hawa.
Sitegemei kama Main Card itakuwa na mvuto, Dulla Mbabe hana skills anategemea power, Twaha kiduku naye ni mtu wa kuswing sana. Hawa wanapigana kiprofessional sana
Nadhani ndio pambano bora la leo, labda Main Card ituprove wrongImagine mpaka rounds 6 zinaisha hawajakumbatiana.
Wamefanya vizuri sana mpaka muda huu.
Nadhani ndio pambano bora la leo, labda Main Card ituprove wrong
Tunaomba update nani kaondoka na mkandaNinaona uvivu kuandika.
Ila pointi ya msingi ni kwamba lile pambano ambalo tulikuwa tukilisubiria kwa hamu hatimaye kimeeleweka.
Hatimaye siku ya tarehe 28/8/2020 tutashuhudia tena kwa mara ya pili mpambano wa kukata na shoka kati ya bondia Dulla Mbabe na mpinzani wake Twaha Kiduku.
Kwenye pambano la kwanza kati ya Dulla Mbabe na Twaha Kiduku upinzani ulikuwa mkubwa sana na wengi wanaamini Twaha ndiye aliyeshinda pambano lile japo maamuzi ya majaji waliamua sare.
Sasa ubishi utaenda kumalizwa tarehe 28/8 hapo uwanja wa uhuru jijini dar es salaaam.
Twaha mara kwa mara amekuwa akilalamika kwamba Dulla amekuwa akimkimbia mara kwa mara kwa kuhofia kupokea kipigo kitakatifu kutoka kwake.
Sasa mbivu na mbichi zitajulikana siku hiyo , ngoja tuendelee kusubiri.
View attachment 1519687
Dulla kachezeaTunaomba update nani kaondoka na mkanda
Na alivyojitambaDulla kachezea
Pambano badoDulla kachezea
BadoNa alivyojitamba
Huyo jaji namba moja mkuda kweli[emoji28]
Mpambano wao bado auBado
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Nimechezesha dish basi ila kwenye dish nimeona dulla auankula mkong'otoPambano bado