Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,243
- 9,213
Twaha Kiduku ndio bondia bora Tanzania
Mbona aliwashindwa Wajumbe wa huko kibamba[emoji23][emoji23][emoji23]Ana kashfa ya kuwahujumu mabondia mara kwa mara.
Masumbwi.Hata sielewi inahusu nini khaaaah
Dulla hafurukuti kwa Twaha.kwa kifupi twaha ana mikwara tu..ila hamuwezi Dulla mbabe.
nililicheckDulla hafurukuti kwa Twaha.
Ulitazama pambano lao la kwanza?
Twaha kiduku mdomo tu..ila mkono hawezi.Twaha Kiduku ndio bondia bora Tanzania
Nyuma ya keyboard unatambaa,kumbe unategemea mbio..Sioni mtu wa kunipiga mimi nikiingia ulingoni.
Mmmmh sasa mbona wamevaa km wacheza ngoma za asili?Masumbwi.
Kumbuka boxing ni mchezo kama michezo mingine, na kwenye michezo kutambiana ni jambo la kawaida sana wala si uadui.Twaha kiduku mdomo tu..ila mkono hawezi.
sawa mkuu..ngoja tusuburi pambano tuone mbabe nani..but me ni shabiki mkubwa wa Dulla mbabe.Kumbuka boxing ni mchezo kama michezo mingine, na kwenye michezo kutambiana ni jambo la kawaida sana wala si uadui.
Dulla mbabe yeye ametamba lazima amuue Twaha Kiduku hivyo mashabiki wakija uwanjani waje na jeneza kabisa.
Halafu kamtambia kwamba kama Twaha atavuka raundi ya saba , basi kwenye mkataba wake laki mbili zake zikatwe na apewe Twaha Kiduku.
Kumbuka boxing ni mchezo kama michezo mingine, na kwenye michezo kutambiana ni jambo la kawaida sana wala si uadui.
Dulla mbabe yeye ametamba lazima amuue Twaha Kiduku hivyo mashabiki wakija uwanjani waje na jeneza kabisa.
Halafu kamtambia kwamba kama Twaha atavuka raundi ya saba , basi kwenye mkataba wake laki mbili zake zikatwe na apewe Twaha Kiduku.
Mapambano matano ya utangulizi.Kutakuwa na mapambano mangapi ya utangulizi?
Pole sana.Nasikitika sana kulikosa hili pambano..wameliweka Uhuru mbali na mambo mengi.
Hivi mshindi anapata sh ngp?Huyu Promonta janja janja kaweka mpunga?,ngoja tuone.
Bongo huwa ni siri.Hivi mshindi anapata sh ngp?
Mapambano matano ya utangulizi.
Ila pambano la utangulizi la Ibrahimu Class na Nasibu Ramadhani ndilo litakalokuwa pambano kali la utangulizi.
Bongo hata suala la rekodi ya bondia huwa ni shida kuzipata ,nyingi tu huwa haziandikwi.Bongo huwa ni siri.