Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,326
- 34,692
- Thread starter
- #121
Vinapigwa vitasa mpaka mtu unashtuka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii ni fighting sio boxing [emoji1787][emoji1787][emoji1787]maana si kwa vitasa hivi.Hizi ngumi za leo sijaziona muda sana, hata kina AJ hawapigani za hivi, Fury na Wilder hawajapiga za hivi muda sana.
Ukitaka kuona boxing nzuri angalia weight za chini, middleweight kushuka chiniHizi ngumi za leo sijaziona muda sana, hata kina AJ hawapigani za hivi, Fury na Wilder hawajapiga za hivi muda sana.
Hii ni fighting sio boxing [emoji1787][emoji1787][emoji1787]maana si kwa vitasa hivi.
Yes hawa wanapigana kama mtaani, pambano lililopita ndio tuliona BoxingHii ni fighting sio boxing [emoji1787][emoji1787][emoji1787]maana si kwa vitasa hivi.
Ukitaka kuona boxing nzuri angalia weight za chini, middleweight kushuka chini
Kazi ya ukiiifanya sana huwa haijifichi,,,inahamia usoni,,kila mtu atakutambuwa kwa kazi yakoPigia mstari , hana tofauti na Thomas Mashari
Ila hawa majamaa wamechagua kazi ngumu mnoo