Kimeeleweka Dulla Mbabe vs Twaha Kiduku 2

Kimeeleweka Dulla Mbabe vs Twaha Kiduku 2

Jamani wekeni picha zao tuwatambue mmoja baada ya mwingine. Naanza kuvutiwa mno na mipambano ya mabondia ya waTZ.

A.Dulla Mbabe
B.Twaha Kiduku
C.Wengineo
Twaha Kiduku.
Screenshot_20200828-185600.jpg
 
Safi ila Mimi sitaki huo utopolo mwingine nataka nimuone dula na twaha maana wametafuta sana hao machalii na wote wako sawa ngoja nione mtanange leo
Wote wapo vizuri, ngoja tusubiri mpambano.

Ila hata mechi ya Nasibu Ramadhan na Ibrahimu Class inaweza ikawa nzuri maana wote ni mabondia wazuri mno.
 
Huyu Muhsin Swalehe amebebwa tu,amepigwa vizuri tu ila marefa wamembeba.
 
Back
Top Bottom