Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Nimechezesha dish basi ila kwenye dish nimeona dulla auankula mkong'oto
Dishi limeyumba hilo.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Nimechezesha dish basi ila kwenye dish nimeona dulla auankula mkong'oto
Mwakinyo anaongea point
Kweli haswa alipozungumzia kuhusu pambano la Dulla Mbabe na Francis Cheka.Mwakinyo anaongea point
Anatengeneza kitu fulani ambacho kina Diamond wamefanikiwa kwenye muziki, anaitengenezea thamani boxingSure, kwamba watu wanashukuru kupewa msosi badala ya kutaja changamoto zinazowahusu.
Wanapigana kufurahisha mashabiki, sema mabondia wetu wakienda nje mara nyingi wanapoteza ndio maana wanakomaliana wenyewe kwa wenyeweKweli haswa alipozungumzia kuhusu pambano la Dulla Mbabe na Francis Cheka.
Mabondia wasiwe wanapigana pigana tu bali waangalie pambano litawafaidisha vipi/litawapeleka wapi?.
Anatengeneza kitu fulani ambacho kina Diamond wamefanikiwa kwenye muziki, anaitengenezea thamani boxing
Wengine wanauza pambano mfano huyu mtoto Seleman Bangaiza kuna pambano hakurusha ngumi hata moja alinyoosha tu mikono.Wanapigana kufurahisha mashabiki, sema mabondia wetu wakienda nje mara nyingi wanapoteza ndio maana wanakomaliana wenyewe kwa wenyewe
Sure, hata lile pambano la Mfaume vs Joshua Clottey sikumuelewa kabisa Mfaume ile TKO, nahisi aliuza mechiWengine wanauza pambano mfano huyu mtoto Seleman Bangaiza kuna pambano hakurusha ngumi hata moja alinyoosha tu mikono.
Wengine wanafelishwa na figisu za mapromota ,kinara wao wa kuwauza ni huyu Jay Msangi.
Yaonyesha huyu pengo nje ya boxer ana kazi nyingine za usiku.Habibu Pengo [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1551229
Pigia mstari , hana tofauti na Thomas MashariYaonyesha huyu pengo nje ya boxer ana kazi nyingine za usiku.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi kweli ni Vitasa.