Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,305
- 34,644
- Thread starter
- #141
Huyu Dulla mbishi sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anacheka tu.
WanauzaaHivi Dulla alipigwaje K.O na Rocky Fielding kama anaweza kuhimili vitasa vizito mfululizo vya Kiduku
Hata Mimi wakisema sare tu nitaaamini ngumi haziko fairKwa macho dulaa kafa jaman, akipewa ushindi siangalii tena ndondi za bongo
Halafu kamaliza mechi anashangilia kupigwa KO, kweli hawa jamaa wanauza mechiHivi Dulla alipigwaje K.O na Rocky Fielding kama anaweza kuhimili vitasa vizito mfululizo vya Kiduku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa macho dulaa kafa jaman, akipewa ushindi siangalii tena ndondi za bongo
KidukuMtangazaji kazingua mpaka sasa sijui hata nan mshindi
Hapo sawaKiduku
Dulla atimize ahadi, atoe laki 2 ampe Kiduku