Swali gumu kweliVATI INALIPWA NA MRAJI KWANINI KAMPUNI IFUNGWE
Swali gumu kweliVATI INALIPWA NA MRAJI KWANINI KAMPUNI IFUNGWE
Mjinga hufurahia ila Mwerevu huwaita na kukaa nao chini... Da bad ting awa presida is not shauriable person... KizungumkutiWaondoke tu, hatuhitaj wanyonyaji. Waende uingereza au USA wakawekeze tuone kama hawatatozwa kodi
Nimekaa Ulaya, kodi huko ni kiboka na hakuna ukwepaji maana its a controlled economy.Mkuu,
Nchi zilizoendelea hazina kodi nyingi kwa makampuni. Zina kodi kwa mtu mmoja mmoja.
Kampuni ukililipisha kodi kubwa, linahamia nchi nyingine.
Hizi habari ndio huwa Furaha kwa majizi Chadema..
Kwa taarifa yenu hata abaki muwekezaji mmoja nchi nzima lazima alipe kodi
Hapa kazi tu! Na waondoke haraka iwezekanavyo....tutalishia majani. Hata ndege ya rais iliponunuliwa watanzania tulikula majani na hakuna kilichoharibika.....bado CCM imeendelea kutawala....CCM oyeeee!!!!Wadau, habari za majukumu! Baada serikali mpya kuingia waliingiza VAT kila sehemu hata kwa waliosamehewa kodi hiyo, nasemea upande wa watengenezaji chakula cha kuku! Kampuni ya thailand CPF wanafunga operation na kuondoka mwisho wa mwezi huu!! Nawasilisha
Nimekaa Ulaya, kodi huko ni kiboka na hakuna ukwepaji maana its a controlled economy.
Sweden VAT ni 25%
Income Tax 0% kwa wasiojiweza/masikini , lakini mishahara ya kawaida from 31%-56% ya mshahara
Kama unatoa zawadi kuna Gift Tax
Kama una property vile vile ipo Property Tax, na kama una state kuna Estate Tax
Kama mtu tajiri amekufa na kurithisha mali yake kwa mtoto kuna Inheritance Tax
Mama una akili kuubwaaaa!!!Waondoke tu, hatuhitaj wanyonyaji. Waende uingereza au USA wakawekeze tuone kama hawatatozwa kodi
Mkuu huo ndio mwanzo wa kuondoka kwa wawekezaji wote na watalii, bandari na bado sehemu zingine wataondoka woteWadau, habari za majukumu! Baada serikali mpya kuingia waliingiza VAT kila sehemu hata kwa waliosamehewa kodi hiyo, nasemea upande wa watengenezaji chakula cha kuku! Kampuni ya thailand CPF wanafunga operation na kuondoka mwisho wa mwezi huu!! Nawasilisha
Tusubiri wachimbaji wa madini waondoke muda siyo mrefuDaaah unaweza kuwa na wazo zuri ila approach unayotumia ndo mtihani. Kodi ni nzuri ila approach inayotumika inaweza kuwa tatizo
Wanaondoka woteHizi habari ndio huwa Furaha kwa majizi Chadema..
Kwa taarifa yenu hata abaki muwekezaji mmoja nchi nzima lazima alipe kodi
Tujiandae kwa hiloNew Zimbabwe is around the corner!
Wakwende, kwanza ma kuku yao vimeoWadau, habari za majukumu! Baada serikali mpya kuingia waliingiza VAT kila sehemu hata kwa waliosamehewa kodi hiyo, nasemea upande wa watengenezaji chakula cha kuku! Kampuni ya thailand CPF wanafunga operation na kuondoka mwisho wa mwezi huu!! Nawasilisha
Kampikie mumeoWaondoke tu, hatuhitaj wanyonyaji. Waende uingereza au USA wakawekeze tuone kama hawatatozwa kodi
Huyo naona anaishi Sumbawanga hajafika bandarini kuona hali ilivyoIn vain wakati mambo yameshaanza kwenda mrama?!
Vipi kuhusu huduma wanazo toa kwa walipa kodi?Nchi zilizoendelea, kwa kodi heri hata kwetu hapa.