PamojaMrejesho Kuhusu Kulima Ufuta
Mwaka Jana As 2019/2020 Nililima Ufuta wangu namshukuru Mungu sana kwakuwa bado kijana mdogo na nilipanga na nikafanikiwa kulima kwangu naona ni hatua kubwa sana ila mambo hayakuenda kama yalivyotarajiwa kutokana na sababu kadhaa
1) Usimamizi mbovu
2) Mbegu haikuwa nzuri
Mwaka 2020/2021 Kwakweli Nalima tenah sitaweza kuacha Kilimo kinapesa sana
Naomba pia unipe darasa la ufuta ambao unalipa katika soko la kimataifa. Nasikia ufuta mweupe peeee ndo upo juu katika soko la nje. Nawezaje kupata mbegu yake au ni utaalamu upi unatumika kupata mbegu nyeupe isiyo na vidoti vyeusi.Pamoja
Geita wilaya ya Mbogwe mvua ilinyesha wiki 1 mfululizo toka juz hakuna mvua ndo tunajiandaaa kuvuna , bukoba mvua kila siku maarage yanaozea shambani kila siku mvua.Vipi wadau kilimo kinaendeleaje huko mliko mana mvua zimepamba moto.
#MaendeleoHayanaChama
Poleni sana..wale wakulima wa ufuta vipi huko..?kilimo kinaendeleaje.?Geita wilaya ya Mbogwe mvua ilinyesha wiki 1 mfululizo toka juz hakuna mvua ndo tunajiandaaa kuvuna , bukoba mvua kila siku maarage yanaozea shambani kila siku mvua.
1800/kg mbeyavipi bei za ufuta msimu huu wakuu
Duh bei ya hasara kabisa hii hailipi kwa mkulima1800/kg mbeya
Hii ni bei iliyopo saiz mwanzoni, ila nina imani kuanzia wiki ijayo itapandaDuh bei ya hasara kabisa hii hailipi kwa mkulima
ok mkuuHii ni bei iliyopo saiz mwanzoni, ila nina imani kuanzia wiki ijayo itapanda
Dar bei ikojee? Na wapi hasa bei hiyo ipo1800/kg mbeya
Bei ipoje mzee!Huku LINDI tunafanya mavuno.Stakabadh gharani mambo yashaiva huko songea Namtumbo
Lindi bei gani ufuta?Bei ipoje mzee!Huku LINDI tunafanya mavuno.