Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

Mrejesho Kuhusu Kulima Ufuta
Mwaka Jana As 2019/2020 Nililima Ufuta wangu namshukuru Mungu sana kwakuwa bado kijana mdogo na nilipanga na nikafanikiwa kulima kwangu naona ni hatua kubwa sana ila mambo hayakuenda kama yalivyotarajiwa kutokana na sababu kadhaa
1) Usimamizi mbovu
2) Mbegu haikuwa nzuri
Mwaka 2020/2021 Kwakweli Nalima tenah sitaweza kuacha Kilimo kinapesa sana
Pamoja
 
Naomba pia unipe darasa la ufuta ambao unalipa katika soko la kimataifa. Nasikia ufuta mweupe peeee ndo upo juu katika soko la nje. Nawezaje kupata mbegu yake au ni utaalamu upi unatumika kupata mbegu nyeupe isiyo na vidoti vyeusi.
Naomba ufafanuzi na utaalamu kwa walio na uzoefu wa zao hili kwa muda mrefu.!

I remain,
 
HABARI wakuu

SHAMBA+ ni mtandao unaotumia App, Whatsapp channel na SMS utakaokutanisha wadau wote wa kilimo ie Wakulima, Bwana shamba, wauzaji pembejeo na mbegu na madawa, na masoko ya bidhaa za kilimo. Kazi/dhumuni la huu mtandao ni : (i) Ushauri wa kilimo kutoka kwa agronomist - NI BURE kama unatumia WHATSAPP au APP, kama ni SMS utalipia (ii) Maswali na majibu kati ya mkulima, Agronomist, wauzaji pembejeo - NI BURE kama unatumia WHATSAPP au APP, kama ni SMS utalipia (iii) Agronomist kuweza kuona maduka ya pembejeo/mbegu, wakulima mbalimbali na Agronomists wenzao wa mikoa mbalimbali na kuweza kuwasiliana na kujitangaza - NI BURE ila ni kwa kutumia APP NA WHATSAPP tu (iv) Kuona masoko na kuwasiliana na wanunuzi wa mazao - NI BURE ila ni kwa kutumia APP NA WHATSAPP tu
 
shamba+

habari wadau wa kilimo .....kwa sasa tiyari tushafungua whatsapp channel ya kusubscribe isave hii namba +27634444350 kisha ingia whatsapp na uitumie ujumbe wa neno la shamba+ kwa herufi ndogo hapo moja kwa moja utakuwa umesubscribe....

baadaye wadau wengi wa kilimo wakisha subscribe hii channel itakuwa inasaidia kutoa information kwa mfano mkulima akiingia na kuulizia masuala ya pembejeo au bwana shamba basi moja kwa moja ataweza kupata jibu hapo hapo kupitia bwana shamba aliye hewani kwa mda husika...pia unaweza kufollow page yetu instagram shambaplus_

kwa maelekezo zaidi unaweza kunipigia 0692449416
 
Vipi wadau kilimo kinaendeleaje huko mliko mana mvua zimepamba moto.

#MaendeleoHayanaChama
 
Vipi wadau kilimo kinaendeleaje huko mliko mana mvua zimepamba moto.

#MaendeleoHayanaChama
Geita wilaya ya Mbogwe mvua ilinyesha wiki 1 mfululizo toka juz hakuna mvua ndo tunajiandaaa kuvuna , bukoba mvua kila siku maarage yanaozea shambani kila siku mvua.
 
Geita wilaya ya Mbogwe mvua ilinyesha wiki 1 mfululizo toka juz hakuna mvua ndo tunajiandaaa kuvuna , bukoba mvua kila siku maarage yanaozea shambani kila siku mvua.
Poleni sana..wale wakulima wa ufuta vipi huko..?kilimo kinaendeleaje.?

#
 
Ufuta unahusishwa mno na ushirikins kwamba unalima wewe wanavuna wengine
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom