Wang Shu
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 2,563
- 3,708
hayo mahesabu yako sijayaelewa em jalibu yafanye kwa unyambulifu sahihi kwanza,Mkuu hailipi kwa bei hiyo, coz ekari moja ya ufuta huwa inatoa gunia 3 kiwango cha juu, kwahiyo 1900×3= 570000. Ambapo mahindi ekari moja inaweza kutoa hadi gunia 10×60000= 600000 kiwango cha juu.
Hapo ilitakiwa bei ianzie walau 2500kg
Pili usilinganishe gharama za kulima ufuta na maindi ni tofauti sana,
maindi yanagharama sana kuliko ufuta.