Mkuu wng hongera na pole na majukumu ansante kwa kuwa kioo cha jamii hp jf Mimi nataka kulima vitunguu maeneo ya kilosa ila Cna mwenyeji km una taarifa zozote Za mashamba mazuri tujulishane nategemea kwenda jtano Pia ni Mara ya 1

Ninakupongeza kwa uamuzi niliwahi kulima kitunguu kilosa maeneo ya msowero na nilivuna gunia 92 kwenye eka moja, kwa sababu shamba lilikuwa lakwangu gharama za kukodi hazikuwepo kwa sasa ninaishi Ifakara baada ya kuhamishwa kikazi , kama unamean sereouse tuwasiliane nikutengee kiasi cha eka unazo hitaji, shamba lina nyumba utahifadhi zana na pembejeo na liko kando ya mto utafanya umwagiliaji bila shida ukubwa wa shamba ni 65 ecar utapewa sawa na mahitaji yako barabara ipo na ni 4hrs drive to Kariokoo
Kiongozi ukiwa na kama 1.5mil jaribu hata heka moja hutoacha tena na utakuwa na mikakati kama yangu soon