kw hao smallscale ushauri wangu nihu c lazima kulima kitungu tu lima namazao mengne km nyany pilihoho nyanya chungu.
 
kw hao smallscale ushauri wangu nihu c lazima kulima kitungu tu lima namazao mengne km nyany pilihoho nyachungu matikti
 
MFano mzuri ukapata shamba lako eka5 ya umwagiliaji popote pale tz.ukapand kitungu eka 2 yakuwah naukapand na nyanya
 
hapo inamana utapata kitungu hela napia nyanya..ukipand na tikitiki inamana kote unahela.nahayo mazao yanalipa yote.
 
ukaja ukapanda eka 3 cha kitungu chakuweka store.unaweka ktnguu store wakat unasubiri bei unalima nyany au tikiti
 
unakuj kutoa nyany pamoj natikiti nawakati huo unatoa kitungu chako store.unapokea kw wakat moja.hapo lazm utengenez pes
 
Kwa mchanganuo hapo ju w eka 5 inamana ina cost mil4 kw eka2 zakitungu nyanya eka2 mil1.8.natikiti laki5.jumla miln 6.3
 
Ukija kuvuna kitngu 200gunia inamana ukauza kwa bei ya 50alfu inamana una milionkumi.
 
ninaandika haya sababu nina ujuzi na kilimo cha bustani.ninaomba tushee idea km kuna mtu mwenye idea nyngne.0752317974
 
MWezi wa3 andaa mbegu kwenye kitalu wa4 panda bdo utakuja kutoa wa7 bdo soko lipo.

Shukrani sana Geba kwa kutufungua macho. Umetushirika mambo mengi muhimu ambayo pengine tusiyadhania kama ni muhimu. Hakika Mungu atakubariko sana. Nimechukua namba yako nitakutafuta kwa maongezi zaidi. Sijui huwa unapatikana wapi wakati wa off season?
 
wadau hi kilimo kinalipa..kitunguu nyany tikitik haya mazao yanalipa.wadau embu tunganishe nguvu tulime largescale
 
yaan kaka unachokisema ni practical kabisa. msimu uliopita tulitumia kama laki 8 tukapata 2m. this month tunahamisha miche toka kitalun. karibu mpwapwa . wakati mwingine huwa nina be tempted kuwa niache kazi ya kuajiriwa niende huko............
 
kwa ufafanuzi c lazima ukalima eneo kubw unaweza ukalima hata nusu eka..km unamtaji mdogo au km unafanya majaribio.
 
Jamani waliofanikish tunaombeni waje watoe ushaur hap tushe idea napia waliofeli pia waje watoe changmoto hapa.tujufunze
 
yaan kaka unachokisema ni practical kabisa. msimu uliopita tulitumia kama laki 8 tukapata 2m. this month tunahamisha miche toka kitalun. karibu mpwapwa . wakati mwingine huwa nina be tempted kuwa niache kazi ya kuajiriwa niende huko............

Kaka upo mpwapwa sehem gan?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom