Kilimo cha Mihogo (Cassava): Mbinu, Ushauri, Changamoto na Masoko yake

Habari wana janvi!!!!!

kwa yeyote anaefahamu upatikanaji wa mbegu bora za muhogo ambazo zilifanyiwa utafiti na kuthibitika kustaihimiri magonjwa mbalimbali na ukame, pia zenye kutoa mazao kwa wingi anakaribishwa.

Dah kuna uzi humu ulikua na link ya wadau wa mihogo na wana link ya group lao la whatsap. Wafute huo uzi huko utasaidiwa kila kitu kuhusu kilimo cha mihogo
 
Dunia hii ni shida Mungu alipotutofautisha kufikiri tu ndo shida ilipoanzia mtu unategemea kupata Msaada mwingine hata mpango hana sehemu kubwa ya watanzania tunakula mihogo hata Kama wewe hujala babu zako wamekula
 
Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!

Ninauza mayai ya kuku wa kienyeji(Kuroiler) kwa ajili ya kula na pia ukitaka kwa ajili ya kutotolesha yanapatikana kwa order.

Bei ya tray moja ni elfu kumi tu(10,000tsh) ninapatikana Dar es salaam Tegeta-Madale na ukitaka tray kuanzia kumi unaletewa popote ulipo bure ila ukihitaji pungufu ya hapo utatoa nauli nusu na sisi tutakuchangia nusu..kwa mawasiliano zaidi 0769345032 au 0654250816 karibuni sana.
 



Mkuu bado mnachukua mhogo?
 
Habari zenu wakuu, mimi ni mgeni lakin nimevutiwa na mada hii, pia Mimi ni mkulima wa mihogo sema bado ninahitaji darasa sana ili kuwa mtaalamu. Ningependa kujua mambo mawili au matatu
1. Kuna kiwanda naskia kipo dar kinanunua mihogo. Je ni kiwanda gan hiko?

2. Swala la soko la mihogo limekaaje, wanauza kwa tani au Kiroba?

3. Mbegu nzuri nayo ni ipi?
 
Siyo vibaya kinalipa vizuri mnoo
 
Project iliishia wapi!update plz
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…