Kilimo cha Mihogo (Cassava): Mbinu, Ushauri, Changamoto na Masoko yake

Wakuu nahitaji mbegu ya muhogo nimelima maeneo ya kisarawe, kama kuna mtu anwrza kunipa msada plz naomba... Nina uhitaji sana
nicheki kwa namba 0717514740naweza kukuunganisha na mtu akukuuzia mbegu mimi pia nalima kisalawe kijiji cha mwaga
 
Write your reply... kwa aliepata chuo cha ustawi ngazi ya cheti na anahitaj chumba karibu na chuo cha ustawi wa jamii bamaga anicheki
 
Kwa jinsi structure ya masoko ya vilimo ilivyokaa kijinga hapa nchini. Naombeni niwe mnunuzi tu wa shambani!
 
Leo nimemuona Waziri Mkuu akizindua kiwanda cha kuchakata Muhogo Mkoani Tanga, nafikiri ni fursa nzuri kwa wakulima wa Muhogo. Nami sipendi fursa hii inipite, mwenye taarifa kuhusu mpango huu anijuze tafadhali, hasa taarifa za upatikanaji wa mashamba, ulimaji, mbegu, nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo nimemuona Waziri Mkuu akizindua kiwanda cha kuchakata Muhogo Mkoani Tanga, nafikiri ni fursa nzuri kwa wakulima wa Muhogo. Nami sipendi fursa hii inipite, mwenye taarifa kuhusu mpango huu anijuze tafadhali, hasa taarifa za upatikanaji wa mashamba, ulimaji, mbegu, nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
long time toka ume post lakini kwa mimi niliepitia kilimo hicho achana nacho, Itakula kwako, Wana siasa ni wana siasa tu
 
.k
Mkuu naanza ujenzi wa kiwanda cha kusindika Rufiji kuanzia Sept na by Jan 2012 nitaanza kununua tani 20 kila siku mihogo aina zote so kama utakuwa na uwezo wa kufikisha tutanunua yote. Michungu na mitamu yote tutachukua kutengezea starch tuna masoko ya nje makubwa na tutanunua bei nzuri tu mkuu.

Maelezo mengi zaidi yapo hapa mkuu

https://www.jamiiforums.com/business-and-economic-forum/39210-project-funding-sources-10.html#post2118391
Mkuu vp mrejesho wa kiwanda vp kipo au ?
 
Wakuu habari za Jumapili.

Kuna kiasi cha pesa nitapata siku za karibuni, sasa baada ya kupata hizo pesa nimeamua niingie kufanya kilimo cha mihogo, Maeneo ya Bagamoyo, au Mkuranga.

Sasa nimekuja hapa kutafuta connection ya mtu ambaye analima au aliwahi kulima mihogo, aweze kunipa ABC's kuhusu hiki kilimo, yani awe Mentor wangu.

Na hitaji mtu mzoefu wa kuniongoza, kama upo shamba, mimi nitakuja huko huko, unielekeze jinsi kilimo kinavyo enda.

Mimi nipo DSM.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nataka kuanza kilimo Cha mihogo ntakutafutia ili kupata soko
Vipofu wa kilimo. Ndio watakae ingia huo mtego:rolleyes: lakini kwa mm iyo siyo investment. Bali ajira yenye marupurupu. Kwa mm taking that deal its wasting time effort and money. Nawashauri wakulima dont take that "game" lima mwenyewe uza mwenyewe. Kama wewe mkulima kwann uajiriwe? Asiyejua soko la mhogo hapa Tanzania ani p.m nitamsaidia. Asiyejua wap pa kuuza starch ani p.m nimpe elimu bure.Kampuni izi za nje zinazokuja na uongo uongo mwingi zinanikera sana.tena wakishirikiana na wazawa kuwanyonya watanzania wenzao. Na kuwasaidia kila kitu. Kutaka kuwaibia watu sababu hawajui. Lima mwenyewe uza mwenyewe. inakulipa.mara 10. Zaidi ya hao wanyonyaji. Kama una huo mtaji lima mwenyewe process starch inakulipa faida yako mara 2 tena zaidi. Acheni utapeli...... hakuna kitu hapo.
N
 
HABARI wakuu

SHAMBA+ ni mtandao unaotumia App, Whatsapp channel na SMS utakaokutanisha wadau wote wa kilimo ie Wakulima, Bwana shamba, wauzaji pembejeo na mbegu na madawa, na masoko ya bidhaa za kilimo. Kazi/dhumuni la huu mtandao ni : (i) Ushauri wa kilimo kutoka kwa agronomist - NI BURE kama unatumia WHATSAPP au APP, kama ni SMS utalipia (ii) Maswali na majibu kati ya mkulima, Agronomist, wauzaji pembejeo - NI BURE kama unatumia WHATSAPP au APP, kama ni SMS utalipia (iii) Agronomist kuweza kuona maduka ya pembejeo/mbegu, wakulima mbalimbali na Agronomists wenzao wa mikoa mbalimbali na kuweza kuwasiliana na kujitangaza - NI BURE ila ni kwa kutumia APP NA WHATSAPP tu (iv) Kuona masoko na kuwasiliana na wanunuzi wa mazao - NI BURE ila ni kwa kutumia APP NA WHATSAPP tu
 
habari wakuu....?
nimerahisisha kwa sasa unaweza kuingia kwenye hizo link ukajibu maswali ya survey kirahisi...

hii ni maalum kwaajili ya wakulima

 
shamba+

habari wadau wa kilimo .....kwa sasa tiyari tushafungua whatsapp channel ya kusubscribe isave hii namba +27634444350 kisha ingia whatsapp na uitumie ujumbe wa neno la shamba+ kwa herufi ndogo hapo moja kwa moja utakuwa umesubscribe....

baadaye wadau wengi wa kilimo wakisha subscribe hii channel itakuwa inasaidia kutoa information kwa mfano mkulima akiingia na kuulizia masuala ya pembejeo au bwana shamba basi moja kwa moja ataweza kupata jibu hapo hapo kupitia bwana shamba aliye hewani kwa mda husika...pia unaweza kufollow page yetu instagram shambaplus_

kwa maelekezo zaidi unaweza kunipigia 0692449416
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom