Ze last Born
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 1,770
- 3,854
Naomba ni add plz #0755800996Nenda kwenye masoko ya hapo mjini au miji jirani kuna wanunuzi wa Jumla, itakuwa vizuri zaidi.
Ndo tena vizuri sana.Wakubwa mimi nina swali moja, jee mbegu kutoka north america zinaweza kumea vizuri hapa nyumbani?
EKama kuna kilimo kinaweza kubadili maisha yako ni matikiti ila watu bado hamajajua na wakati mwingine masoko bado hayajawa rasmi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
kati ya Sukari F1 na Suger King F1 IPI mbegu nzuriAsali f1 hakuna kitu mie nshalima ovyo MBEGU bora kwa Mimi kwanza ni sukar f 1 ndo zinafuata Queen Sugar, balton
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nikujie kwa PM link haiungiWale wanaopenda kujiunga na whatsapp group la wakulima wa matikiti, fuata hiyo link kujiunga tafadhali.
Mkuu naweza kupata na mm b.planNinayo business plan ya kilimo cha water melon!.. Ila iko planed zaidi kwa infrastructure za Dodoma cjui kama itakufaa!..
Gharama yake ni kiasi gani kwa maeneo ya mwana mbaya kiongoziWrite your reply...kwa yoyote anayehitaji kulima matikiti maji kwa ukanda wa pwani hususani wilaya ya MKURANGA na huna muda wa kusimamia shamba mwanzo mwisho tunatoa huduma hii kwa gharama ndogo sana, utakabidhiwa shamba Siku ya mavuno. kama unahitaji huduma hii wasiliana nami 0622925630
Habarini wakuu!
Jamani mimi nataka kulima tikiti maji kibiashara zaidi mapema iwezekanavyo mwezi wa pili 2019....lakini naomba nisaidiwe mambo yafuatayo:-
i/Nahitaji kulima na mtu mzoefu na aliyebobea katika kilimo hiki cha tikiti.
2/Awe mkulima aidha mwenye supply contract au awe na linkages kwenye masoko ya uhakika.
3/awe analimia sehemu ambayo maji ni ya uhakika kwa kipindi chote cha uzalishaji.
4/Anipe mchanganuo wa gharama zote za uzalishaji.. Kuanzia kukodi shamba....mpaka kuvuna kwa ekari moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale wanaopenda kujiunga na whatsapp group la wakulima wa matikiti, fuata hiyo link kujiunga tafadhali.
Nenda kwenye masoko ya hapo mjini au miji jirani kuna wanunuzi wa Jumla, itakuwa vizuri zaidi.
Keep it up, pambana mwanzo mwisho. Mbona umetumia gharama kubwa ivo...?
Wana jamii mi nadhan kama kuna mtu yeyote amejiunga na ma group ya kilimo wats ap ani add kwa namba hii 0717113999 na kama hamna vp kama tutaanzisha group itakua rahs zaid kusaidiana na kupata changamoto na mafunzo meng zaid kwa haraka kuliko hapa... Ni ushaur tu wanajamii
Kilimo kina faida na hasar niliuza viwanj kulima tikit mwaka huu mwez wa kwanza ila nilirowesha ekar mbil na gharama zilizo tumika km mil 3 LAK 4 na sikupata kitu na mwez wa tano nkalima yakaivia kwenye mafuriko nimeuza buku kwa jero hatar
Na sijakata tamaa nshaanda shamba nshalima nataka kueka samad tareh 15 mwez huu napnda et