Ze last Born
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 1,770
- 3,854
Habarini wakuu!
Jamani mimi nataka kulima tikiti maji kibiashara zaidi mapema iwezekanavyo mwezi wa pili 2019, lakini naomba nisaidiwe mambo yafuatayo:-
i/Nahitaji kulima na mtu mzoefu na aliyebobea katika kilimo hiki cha tikiti.
2/Awe mkulima aidha mwenye supply contract au awe na linkages kwenye masoko ya uhakika.
3/awe analimia sehemu ambayo maji ni ya uhakika kwa kipindi chote cha uzalishaji.
4/Anipe mchanganuo wa gharama zote za uzalishaji.. Kuanzia kukodi shamba mpaka kuvuna kwa ekari moja
Sent using Jamii Forums mobile app