Ushuhuda wa kilimo cha tikiti maji

Labile

Member
Dec 9, 2016
58
63
Mwaka huu nimelima tikiti, I provided everything needed ila bado mazao hayanenepi, sababu kubwa iliyoni cost ni USIMAMIZI MBOVU.

Mimi ni mwajiriwa kwaio sikuwa na muda wa kutembelea shamba katikati ya wiki, nilienda siku 2 tu kwa wiki, baada ya 2 months nikampeleka afisa kilimo anionee shida nini, anafika pale kabla ya yote akasema hapa uzembe umefanyika kwenye upigaji wa maji, regardless shamba limepakana na ziwa, nina pump mpya na watumishi wa kutosha ila bado hili ndo limenikuta.

My take: tikiti ukilihudumia vizuri Lita appreciate endapo ukiwa pale muda wote una monitor shughuli, tunaweka hela nyingi ila madogo hawaoni umuhimu kabisa. Sijasarenda ntalima tena
 
Nimeshajua ilikofanyika makosa, nitayasahihisha, hata mimi pesa zangu zinaniuma ila sababu iliyonifanya nianze ni kubwa kuliko uoga utakaonitisha niache. I have big goals
Katika jambo lolote utakaloanza lazima ujifunze na kujifunza kwake ni kupata hasara kupitia makosa, sasa huyo mwendawazimu anakutisha yeye hawezi kusimamia hata mbwa hivyo achana nae.

NB:HUWEZI UKAANZISHA JAMBO UKAPATA FAIDA HPOHAPO, LAZIMA UTAPA HASARA NA NDIPO UTAKAPOJIFUNZA.
 
Tikiti nimelima.
Ni zao au tunda very delicate.
Ushauri wangu:
1. Kama ndo unaanza usilime shamba kubwa, kama una tamaa sana bora upande lile kopo nusu la kutoa mimea like 4000.
2. Tikiti umakini unaanzia kwenye kuandaa shamba, lazma uwe makini kwenye ile mifereji pamoja na kitalu na kisahani ambacho mbegu itapandwa.
3. Kua makini zaidi kwenye kuvundika mbegu before hazijapandwa. Umakini uongezeke kwenye kupanda, hakikisha hawavunji kile kimzizi kinachoanza kuonekana.
4. Wakipanda, wasipande katikati ya kisahani, kila kisahani kinaingia mbegu mbili moja kushoto ingine kulia, na inaingizwa ardhini in a slanting way sio vertically pia kale ka mzizi ndo katangulie.
5. Umwagiliaji, umwagiliaji umwagiliaji. Nmerudia mara 3 maana hyo ndo nguzo kuu kipindi cha mwanzo. Hapa n jam maana hata kama shamba liko ziwani, bado kuna kazi kubwa ya kuyachota maji kwenye mfereji na kuyamwaga kwenye kisahani. Hao vibarua lazma wawe super serious na wenye afya maana sio kazi ndogo kila siku.
6. Majani yakishaanza kutambaa lazma ujue kuyakatia ili upate matunda almost 2 kwa kila mbegu but makubwa. Tofaut na hapo matikiti yatakua mengi lakn madogo sana maana kuna kugombania chakula.
7. Maeneo karb na ziwa kama n porini hua kuna shida ya fisi na viboko, jitahd lwenye ulinzi yakikarbia kuvunwa.
8. Tikiti halistahimili wadudu. So dawa haitakiwi kuchelewa siku 2. Na mbolea pia ni muhimu.
9. Ukifanikiwa yote hayo unakuja kwenye soko sasa. Inabd uongee na madalali vzur ili ujue msimu ambao hua hakuna tikiti. Hapo utapata hela. Lakm ukivuna kipikd mko nyomi, utalia kilio kikuu sokoni. Also, madalali ni wezi sana. Inahitaji umakini wa kiwango cha kimataifa.
10. Hao staff n vyema ukawa na mmoja ambae ameshawahi kulima na lufanikiwa kuvuna. Huyu uwe mjanja kwenye malipo, usimpe flat rate, mpigiane hesabu ya kugawana faida, hapo umakini unaongezeka.

Mimi sio bwana kilimo, lakn nna uzoefu ma vipigo kibao vya matikiti, so wataalam wataongeza nyama zaidi.
All in all ukizibahatisha, tikiti zina hela nzuri sana.
Karibu kwenye mambo ya shamba mkuu. Usikate tamaa.
 
Hints zako nimeziona na kuzipokea, nikishavuna na nitajipanga na kurudi even stronger
 
Uwekezaji unaofaa wa kuweka hela na kukaa huku wengine wanafanya ni ule wa hisa na fixed deposit tu. Tena wa hisa hauna uhakika ila angalau.
 
Katika jambo lolote utakaloanza lazima ujifunze na kujifunza kwake ni kupata hasara kupitia makosa, sasa huyo mwendawazimu anakutisha yeye hawezi kusimamia hata mbwa hivyo achana nae.

NB:HUWEZI UKAANZISHA JAMBO UKAPATA FAIDA HPOHAPO, LAZIMA UTAPA HASARA NA NDIPO UTAKAPOJIFUNZA.
We lofa kweli.
Unatoa Hamasa bila hints za kumsaidia aendapo.
 
Mwaka huu nimelima tikiti, I provided everything needed ila bado mazao hayanenepi, sababu kubwa iliyoni cost ni USIMAMIZI MBOVU. Mimi ni mwajiriwa kwaio sikuwa na muda wa kutembelea shamba katikati ya wiki, nilienda siku 2 tu kwa wiki, baada ya 2 months nikampeleka afisa kilimo anionee shida nini, anafika pale kabla ya yote akasema hapa uzembe umefanyika kwenye upigaji wa maji, regardless shamba limepakana na ziwa, nina pump mpya na watumishi wa kutosha ila bado hili ndo limenikuta.

My take: tikiti ukilihudumia vizuri Lita appreciate endapo ukiwa pale muda wote una monitor shughuli, tunaweka hela nyingi ila madogo hawaoni umuhimu kabisa. Sijasarenda ntalima tena
Mkuu, Dunia ya leo bado unapata changamoto ndogo hii ? Kuna video calls, na pia unaweza kuwaambia kila siku wa record videos wakimwagilia huku wanasema kwa mfano,leo alhamis sep 7 tunamwagilizia, wakutumie hizo videos kila siku
 
Nimeshajua ilikofanyika makosa, nitayasahihisha, hata mimi pesa zangu zinaniuma ila sababu iliyonifanya nianze ni kubwa kuliko uoga utakaonitisha niache. I have big goals
Napenda hivo.
Umeyajua, kikubwa kazingatie ndugu....usimamizi unawaunguza wengi Sana.
Bangida kakuchorea ila najua wapo watakuchorea zaidi.
 
Ndio maana watu wanawasema vibaya WAHINDI.. kwa sababu hizi hizi za kipuuzi.

Chapa Risasi hao ngedere
 
Back
Top Bottom