Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,204
- 128,020
Tikiti noma mzee, badili kilimo
Ukisoma vizuri maoni ya watu inaonesha ni sukari f1, kwa uzoefu wangu ni keshavu kutoka India.Nimejaribu kulima matikiti maji msimu wa masika lakini sikupata vile nilivyotarajia kutokana na mvua kuwa nyingi sana japo pia sikupata hasara kwa gharama nilizotumia. nilitumia Hyríd Sugar Queen F1 kama mbegu lakini changamoto ilikuwa ni size ya matunda kutoridhisha.
Ktk comments za wateja niliskia kutoka kwa wateja wawili tofauti wakisema kuna mbegu moja inatoa matunda makubwa sana na yenye radha, sifa kuu ya mwonekano wa matunda hayo ni "rangi ya nje ya tunda ni zebra lakini isiyo na kijani kilichokolea, linakuwa kama jeupe fulani ivi" so, naomba mtu mwenye idea na hii mbegu aniambie ni mbegu aina gani tafadhali, au mbegu ipi ya tikiti ina sifa ya kutoa matunda makubwa sana mbali na huduma za shambani?
Kuna mbegu inaitwa Princess F1 Ni ya kampuni ya Kibo Seeds, Ina sifa hiyo.Nimejaribu kulima matikiti maji msimu wa masika lakini sikupata vile nilivyotarajia kutokana na mvua kuwa nyingi sana japo pia sikupata hasara kwa gharama nilizotumia. nilitumia Hyríd Sugar Queen F1 kama mbegu lakini changamoto ilikuwa ni size ya matunda kutoridhisha.
Ktk comments za wateja niliskia kutoka kwa wateja wawili tofauti wakisema kuna mbegu moja inatoa matunda makubwa sana na yenye radha, sifa kuu ya mwonekano wa matunda hayo ni "rangi ya nje ya tunda ni zebra lakini isiyo na kijani kilichokolea, linakuwa kama jeupe fulani ivi" so, naomba mtu mwenye idea na hii mbegu aniambie ni mbegu aina gani tafadhali, au mbegu ipi ya tikiti ina sifa ya kutoa matunda makubwa sana mbali na huduma za shambani?
Hakuna sehemu rahisi, kila sehemu inahitaji umakini na kujituma, jifunze changamoto rekebisha, na kaza, vinginevyo utakuwa mkimbizi wa kikimoTikiti noma mzee, badili kilimo
Bei ni 5,000/= Kwa kimoja cha matunda i.e matikiti maji ila ukichukua vitatu ufugaji wa kuku,mboga na matunda utapata Kwa bei ya 12,000/=
Wapendwa na mimi nahitaji hiyo nakala. Tafadhali nitumiwe emsuya23@gmail.com
Kwangu mimi namwagilia kila siku.Noamba kuuliza - eti ni lazima kumwagia matikiti kila siku?
Je nkimwagia leo alafu baada ya siku mbili ardhi ikawa bado ina unyevu kwa chini nkifukua mchanga, natakiwa lazima nimwagie ili ardhi ilowe?
Mwenye utaalamu please anisaidie ni jinsi gani mmea huu (na mimea mingine) inakunywa maji? Imezoeleka kumwaga maji mengi sana kwenye kilimo cha tikiti, ningependa kujua kitaalamu kama ni kweli mmea wa tikiti unahitaji maji MENGI sana
Na sukari f1Kuna mbegu inaitwa Princess F1 Ni ya kampuni ya Kibo Seeds, Ina sifa hiyo.
VeternaryKwa tulioko dar es salaam, na tunaopenda kwenda sokoni wenyewe hivi Kuna soko lingine zuri kwa kuzuia matikiti tofauti na Temeke stereo. ?
Nini siri ya kutoa ndonga mkuu, daily watering? frequent foliar feeding? Mbolea au?Ukisoma vizuri maoni ya watu inaonesha ni sukari f1, kwa uzoefu wangu ni keshavu kutoka India.
Kwa imani yangu ni kwamba ukitoa huduma vizuri mbegu yeyote ya hybrid inatoa matunda makubwa, mimi huwa natumia sugar queen f1 huwa napata matunda kwa saizi ya ndoo ya Lita kumi mengi tu.
Japokuwa kibiashara matunda makubwa yanavutia wateja lakini hayanunuliwi kwa sababu ya bei, matunda ya saizi ya kawaida yanauzika kirahisi maana hata mwenye 500 anapata tunda kuliko hayo makubwa yanabana wateja kwenye bei.
Faida yenyewe inaweza kuhama kutoka kwa Mkulima kwenda kwa DalaliDaaa hiki kilimo ni kigumu ila ukikipatia kina faida sana