Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

Ze last Born

Ze last Born

JF-Expert Member
1,117
2,000
Habarini wakuu!

Jamani mimi nataka kulima tikiti maji kibiashara zaidi mapema iwezekanavyo mwezi wa pili 2019, lakini naomba nisaidiwe mambo yafuatayo:-

i/Nahitaji kulima na mtu mzoefu na aliyebobea katika kilimo hiki cha tikiti.
2/Awe mkulima aidha mwenye supply contract au awe na linkages kwenye masoko ya uhakika.
3/awe analimia sehemu ambayo maji ni ya uhakika kwa kipindi chote cha uzalishaji.
4/Anipe mchanganuo wa gharama zote za uzalishaji.. Kuanzia kukodi shamba mpaka kuvuna kwa ekari moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M

Miss Felicia Mwakale

New Member
3
20
Wakubwa mimi nina swali moja, jee mbegu kutoka north america zinaweza kumea vizuri hapa nyumbani?
Ndo tena vizuri sana.
Kwani sasa virutubisho vyote vya mbegu hizo zinapatikana nchini.
Kupitia NeoLife company distributors
Bidhaa kama super gro na neolife-care
tembelea blog www.Neolife.com
Sikujuta na hauto juta
Au kwa mawasiliano zaidi andika neno
Mbegu kwa nambari 0769788959.
 
A

Agnes chris

New Member
2
20
Hello wapendwa naombeni m niadd kwenye group la ukulima wa nafikiri nataka kujifunza please nikirudi nianze Kilimo Rasmi Agnes 16147076073 thanks


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mr Cu

Mr Cu

JF-Expert Member
1,316
2,000
Please kama kuna group la kilimo naomba mniunge 0759845989
 
Kaka mwisho

Kaka mwisho

JF-Expert Member
316
225
Write your reply...kwa yoyote anayehitaji kulima matikiti maji kwa ukanda wa pwani hususani wilaya ya MKURANGA na huna muda wa kusimamia shamba mwanzo mwisho tunatoa huduma hii kwa gharama ndogo sana, utakabidhiwa shamba Siku ya mavuno. kama unahitaji huduma hii wasiliana nami 0622925630
 
A

Allyhaji

New Member
4
20
Write your reply...kwa yoyote anayehitaji kulima matikiti maji kwa ukanda wa pwani hususani wilaya ya MKURANGA na huna muda wa kusimamia shamba mwanzo mwisho tunatoa huduma hii kwa gharama ndogo sana, utakabidhiwa shamba Siku ya mavuno. kama unahitaji huduma hii wasiliana nami 0622925630
Gharama yake ni kiasi gani kwa maeneo ya mwana mbaya kiongozi
 
Moshi wa Kumbi

Moshi wa Kumbi

Member
74
95
Habar wakuu
Matikit yangu yana haribika upande wa chini km yanafanya kuoza hivi kwa kufany kibaka cheusi
 
O

oscer

Member
23
45
Maelezo nimarefu sana in shot
Kwahuku Mbeya
Kukodi shamba 80,000
Kulima 50,000
Kupanda 50,000
Mbegu 70,000 kwa
Palizi mbili 100.000
Msimamizi 250.000
Mbolea 180,000
Madawa jumla uwe na 250,000
Hizo ndo gharama nilizo tumia Mimi
Kwa wastan wachini kabisa ukivuna utapata m 1.6
Wastani wajuu ni m4 kwa hekari
Maana nilishuhudia jirani yangu ililima hekari 4 na nusu alipata milio 21 cash sijasimuliwa tulikuwa wote siku hio so tikiti inalipa sana
 

Forum statistics


Threads
1,424,515

Messages
35,065,647

Members
538,005
Top Bottom