Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

Jawai

Jawai

JF-Expert Member
503
500
Jamani natafuta mteja wa tikiti nimelima hekari moja zitafikisha siku 90 katikati ya huu mwezi (sept). Nimelima runzewe,geita
Nenda kwenye masoko ya hapo mjini au miji jirani kuna wanunuzi wa Jumla, itakuwa vizuri zaidi.
 
G

Gongoman

Member
9
45
Wale wanaopenda kujiunga na whatsapp group la wakulima wa matikiti, fuata hiyo link kujiunga tafadhali.
 
Jojo123

Jojo123

JF-Expert Member
262
500
Kama unajuana na wakenya wanao nunua tikiti tunaomba taarifa zao.. Kuna ekari 5 zinavunwa mwezi huu wa kumi tarehe 15, njoo inbox unipe number zao na wewe utapewa shukran siku ya mauzo..
 
Ndara Mbovu

Ndara Mbovu

Senior Member
123
225
Naombeni kujua bajeti ya kuanzisha umwagiliaji kwa njia ya matone kwa shamba la matikiti la ekari 1
 

Forum statistics


Threads
1,424,514

Messages
35,065,616

Members
538,005
Top Bottom