Tikitimaji Zao ambalo laweza kukupa mamilioni ndani ya siku 75

Mashima Elias

Member
Dec 22, 2010
18
52
UTANGULIZI
Matikiti maji hulimwa kama zao la biashara katika sehemu nyingi duniani zenye hali ya hewa ya joto la wastani, zao hili huwapatia watu kipato.

Matikiti maji ni mojawapo ya jamii za matunda au mbogaboga inayotambaa. Mimea hii inapatikana katika kundi linalojumuisha mimea mingine kama kama matango na maboga, zao la tikiti maji ni mojawapo ya zao ambalo lina faida kubwa sana ukilinganisha na mazao mengine ya muda mfupi.

Katika shamba la ukubwa wa ekali moja lililoandaliwa vizuri na kuhudumiwa vizuri mkulima ana uwezo wa kuvuna kiasi cha Tani 15-36

HALI YA HEWA
Mimea hii husitawi maeneo yenye joto la wastani wa nyuzi kati ya 21-30 sentigradi. Iwapo mitikiti yatapandwa katika maeneo yenye joto chini ya nyuzi 15 za sentigrade huchelewa kuota.

kwa upande wa mvua matikiti yanahitaji kiasi cha mvua kati ya millimita 400-600 kwa msimu. Mvua nyingi husababisha uwepo wa magonjwa ya fangasi na bakiteria ambayo huathili mavuno.

HALI YA UDONGO
Huhitaji udongo wenye rutuba nzuri ulio na virutubisho. Vile vile hayahitaji udongo wenye kiasi kikubwa cha tindikali na alikali kubwa. Hali ya udongo kipimo cha pH iwe kati ya 6.0 na 7.0. Ingawa mmea una uwezo vile vile wa kuhimili kwenye udongo wenye PH 5.0

MAENEO YANAYOFAA KWA KILIMO CHA MATIKITI MAJI TANZANIA.
Kwa upande wa Tanzania yanastawi vizuri kwenye mwinuko kidogo kama Dar es salaam,Tanga, Morogoro, Mtwara, Lindi na Pwani ijampo zao hili hulimwa mikoa mingine pia Muda mzuri wa kupanda ni kipindi cha kipupwe mwezi wa tatu mpaka wa tisa.

UANDAAJI WA SHAMBA
Kabla ya kupandikiza udongo utifuliwe vizuri na majani yaondolewe kabisa.Shamba liandaliwe vizuri kwa kusafisha ili kuondoa mimea mingine ambayo inaweza kuwa ni chanzo cha magonja.

UPANDAJI
Katika shamba la ukubwa wa hekta moja kiasi cha kilo 3-4 cha mbegu kinaweza kutumika. Panda mbegu 2 au 3 moja kwa moja katika kila shimo. Usipande katika kitalu kwasababu miche ya mitikiti huwa ni dhaifu sana wakati wa upandikizwaji iwapo itapandwa kwenye kitalu hivyo kupelekea kufa kwa miche hiyo. Panda umbali wa sentimeta 2 chini ya udongo kwa umbali wa sentimeta 30 kutoka shina hadi shina na mita 1.5 - 2 kutoka mstari hadi mstari. Zingatia kutokutumia mbegu za tikiti za kukamua kwasababu zinaweza kuwa ni chotara (Hybrid) ambayo hupelekea kushusha kiasi na ubora wa matikiti yatakayo zaliwa kwa sababu yatakuwa ni kizazi cha pili (F2)

MATANDAZO (MULCHES
Matandazo unaweza kutumia nyasi na mabaki ya mimea mingine kufunika aridhi. Baada ya miche kutambaaa kwa kiasi unaweza kuweka matandazo (mulches) ambayo yaweza kuwa nyasi kavu kwenye udongo ili kuzuia upotevu wa unyevu vile viile kupunguza uotaji wa magugu shambani kwako. Vile vile matandazo yakioza yanaongeza rutuba kwenye udongo na hulinda udongo dhidi ya mmomonyoko wa udongo.

UWEKAJI WA MBOLEA
Mbolea za viwandani aina ya NPK au mbolea zenye nitrogen kiasi cha gramu 10 hadi 20 ziwekwe wakati mimea ikiwa ni midogo mpaka pale maua ya kike yatakapoanza kuonekana. Vilevile samadi inaweza kuwekwa wakati mimea ikiwa midogo. Baada ya mimea kutengeneza matunda weka mbolea aina ya urea na potassium hadi mara 2 au 3 kwa wiki mpaka matunda yatakapokomaa.

UMWAGILIAJI
Shamba linatakiwa limwagiliwe mara kwa mara wakati mvua zinapokosekana au wakati wa mvua chache. Kipindi muhimu zaidi ambapo mimea hii huhitaji maji ni katika kipindi cha uotaji wa mbegu, wakati wa kutoa maua na siku takribani kumi kabla ya kuvuna. Iwapo kutakuwa na ukosefu wa maji kutasababisha kutengenezwa kwa matunda ambayo si mazuri na yenye umbo baya wakati wa utengenezaji wa matunda pia upunguaji wa ukubwa wa tunda.

Angalizo; usimwagilie matikiti wakati wa jioni sana au usiku kwasababu inaweza kusababisha magonjwa ya majani kutokana na unyevu kukaa muda mrefu. Vile vile usimwagilie juu ya maua wakati wa asubuhi au join kwasababu unaweza kuzuia wadudu kama nyuki ambao ni muhimu sana wakati wa uchavushaji.

MAUA NA MATUNDA
Matikiti hutoa maua dume na jike kwenye tawi moja. Kwa kawaida maua dume huwa ni madogo zadi na hutoka mapema zaidi yakifuatiwa na maua jike ambayo huwa makubwa zaidi. Maua yanaweza yasionekane au yasitokee iwapo kiasi kidogo cha maji kitamwagiliwa ,upungufu wa viritubisho kwenye udongo na hali ya hewa ya joto/baridi sana n.k.

Uchavushaji hufanya na wadudu na iwapo itaonekana hakuna wadudu unaweza kuchavusha kwa kutumia mkono.

Hii hufanywa kwa , kukata maua dume kwa kisu na kufanya uchavushaji kwenye maua jike, maua jike ya mwanzo kwenye tawi ndiyo yenye ukuaji bora zaidi, unaweza kukata tawi lisiendelee kukua baada ya matunda kutokeza hii husababisha kuwa na matunda makubwa zaidi. Hii inawezwa kufanywa zaidi wakati wa Asubuhi.

MAGONJWA NA WADUDU
Wadudu wa matikiti wako wa aina mbalimbali na wanaoshambulia sehemu wanaoshambulia majani na maua, na wengine hushambulia matunda , pia kuna magonjwa ya fangasi ambayo hushambulia mimea. Magonjwa kama Ukungu wa unga (powdery mildew) na wa chini (Downy mildew) na mengine yathibitiwe kabla hayajaleta madhara kwenye mimea.Ili kujua dawa za magonjwa ni vizuri kuchukua sampuli na kwenda nayo kwenye duka la dawa na pembejeo za kilimo ili kupata dawa sahihi. Dawa aina ya Mancozeb inaweza kutumiwa kuthibiti ugonjwa magonjwa hayo hapo juu.

Vilevile matikiti hushambuliwa na wadudu ambao hukaa katika majani, maua na matunda.

Sumu aina ya Karate itasaidia kuua wadudu wa majani, maua na matunda.

UVUNAJI MATIKITI
Kabla ya kuvuna matunda ni vema kwanza kujua kuwa matikiti huchukua takribani miezi mitatu mpaka mitano toka inapopandwa mpaka kukomaa. Hii hutegemea na aina ya matikiti yenyewe. Tikiti lililo komaa linaatakiwa na mwonekano wake huwa kama ifuatavyo;

Rangi ya mng’ao hupotea
Upande wa chini wa tunda huanza kuwa na rangi ya njano.

Pia kikonyo juu ya tunda hukauka kabisa na kuwa kijivu.

Ila njia nzuri ni kuyapiga kwa kiganja na kusikiliza mlio wake unakuwa kama mlio wa ngoma.

Tumia kisu wakati wa kuvuna matikiti, yabebwe na kuhifadhiwa vizuri kwenye makasha tayari kuuzwa au kwa matumizi binafsi.

MASOKO
Ukubwa wa tikiti na mwonekano wake ni baadhi ya sifa zinazoangaliwa na wananuzi. Matikiti madogo sana huwa hayapendi sana na wanunuzi. Kwa Tanzania wakulima wengi wanauza matikiti katika masoko ya ndani yanayopatikana takribani nchi nzima. Kwa miaka kadhaa tikiti moja limekuwa likiuzwa kwa wasitani wa shilling 1000 kwa tikiti dogo mpaka 3000 kwa tikiti kubwa katika masoko.

MAVUNO
Mavuno ya matikiti yanategeme huduma za shamba pamoja na hali ya hewa. Matikiti pia hutofautiana katika mavuno kulingana na aina ya matikiti. Kwa wastani matikiti yanaweza kutoa kutoa mavuno kati ya TANI 15-36 kwa hekta moja.

images%20(4).jpg
 
Mimi kuna dada mmoja kutoka SUA alikuwa anawa motivate watu kulima tikiti. Kiukweli nilivutiwa na kujiona tajiri ndani ya miezi michache. Mpaka mimi mwenyewe nikajiuliza kwanini watu ni maskini wakati kuna dili kubwa kama hili.
Nikachukua hatua maramoja nikakodi shamba na kupanda tikiti. Yaliyonikuta naomba niishie hapa.
 
View attachment 2722005
Barikiwa sana kwa elimu! Namuomba Mungu anisaidie siku moja nami nilime!
 
Mimi kuna dada mmoja kutoka SUA alikuwa anawa motivate watu kulima tikiti. Kiukweli nilivutiwa na kujiona tajiri ndani ya miezi michache. Mpaka mimi mwenyewe nikajiuliza kwanini watu ni maskini wakati kuna dili kubwa kama hili.
Nikachukua hatua maramoja nikakodi shamba na kupanda tikiti. Yaliyonikuta naomba niishie hapa.
Ni kweli kilimo kama biashara zingine kuna changamoto !! lakini mimi shida kubwa ninayoiona ni watu hatupendi kuwekeza kwenye maarifa, tunakimbilia kupata mtaji na kukokotoa faida, mafanikio kwenye biashara ya kulima utaalamu unachukua nafasi kubwa sana.
 
Wacha we!😀
 
Hiki ni kilimo cha kwenye makaratasi, sasa nenda kalime shambani uone matokeo yake.
Ni kweli kabisa hesabu za kwenye karatasi huwa mara nyingi zinaenda tofauti na uhalisia shambani, Lakini sababu kubwa ni vile watu tunashindwa kusimamia yale yaliyopo kwenye karatasi! na kama uliwahi kulima kilimo cha kutuma pesa bila kufika shambani lazima utabisha na kuuliza maswali mengi kuhusu usimamizi wa yale yaliyo kwenye karatasi.
 
Una shamba darasa kuonyesha hiki unachokisema,? Kama unafanya hiki kilimo, weka vitu kwenye YouTube, kama wanavyofanya malembo farm,
Bila hivyo ulichoandika hapa, ni porojo tu za nadharia.
Uhalisia mtaani,biashara ya matikiti, ni kujikimu tu, "hand to mouth" Laiti yangekuwa na soko kama ngano ya ukraine, hiki unachokisemaunachokisema, kingekuwa kweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom