Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

oscer

Member
Joined
Sep 24, 2014
Messages
22
Points
45

oscer

Member
Joined Sep 24, 2014
22 45
Tikiti zipo ainabili msihangaike na makampuni kuna tikiti jeusi LA mviringo kabisa kama mpira hilo tikiti panda wakati wa kiangazi halitaki mvua wala ukipanda wakati wa mvua lazima ulie aina yapili tikiti lenye umbire LA yai hulo panda wakati wa mvua utafurahi Ila nalo ukipanda kiangazi linasumbua sana pia kadiria kama una panda wakati wa mvua pia na uandaaji wa matuta ya matikiti ukizinhatia hayo huji Julia kaka tikiti INA LIPA itakapo panda tena zingatia hayo
Habarini wakuu!
Jamani mimi nataka kulima tikiti maji kibiashara zaidi mapema iwezekanavyo mwezi wa pili 2019....lakini naomba nisaidiwe mambo yafuatayo:-
i/Nahitaji kulima na mtu mzoefu na aliyebobea katika kilimo hiki cha tikiti.
2/Awe mkulima aidha mwenye supply contract au awe na linkages kwenye masoko ya uhakika.
3/awe analimia sehemu ambayo maji ni ya uhakika kwa kipindi chote cha uzalishaji.
4/Anipe mchanganuo wa gharama zote za uzalishaji.. Kuanzia kukodi shamba....mpaka kuvuna kwa ekari moja

Sent using Jamii Forums mobile app
Wale wanaopenda kujiunga na whatsapp group la wakulima wa matikiti, fuata hiyo link kujiunga tafadhali.
Nenda kwenye masoko ya hapo mjini au miji jirani kuna wanunuzi wa Jumla, itakuwa vizuri zaidi.
Keep it up, pambana mwanzo mwisho. Mbona umetumia gharama kubwa ivo...?
Wana jamii mi nadhan kama kuna mtu yeyote amejiunga na ma group ya kilimo wats ap ani add kwa namba hii 0717113999 na kama hamna vp kama tutaanzisha group itakua rahs zaid kusaidiana na kupata changamoto na mafunzo meng zaid kwa haraka kuliko hapa... Ni ushaur tu wanajamii
Kilimo kina faida na hasar niliuza viwanj kulima tikit mwaka huu mwez wa kwanza ila nilirowesha ekar mbil na gharama zilizo tumika km mil 3 LAK 4 na sikupata kitu na mwez wa tano nkalima yakaivia kwenye mafuriko nimeuza buku kwa jero hatar
Na sijakata tamaa nshaanda shamba nshalima nataka kueka samad tareh 15 mwez huu napnda et
 

Forum statistics

Threads 1,343,294
Members 515,003
Posts 32,779,496
Top