Kilimanjaro yaendelea kuwa kinara wa elimu

Kilimanjaro yaendelea kuwa kinara wa elimu

Toa vibanda vyako hapo cheki mijengo ya shule kilimanjaro
tapatalk_1578945940974.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiweke mpira kwapani mkuu kuhusu matokeo ktk level zote kilimanjaro imeichapa kagera Bao 5-2 maana form four tumewachapa,form two tumewafyeka,la nne ndio tumepishana (nafwasi) moja (nimeongea kiswahili Cha kihaya maana wahaya wengi hawajui kiswahili

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba nyie wakina yesu na Maria ndo mnajua Kiswahili [emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachaga wanatia aibu sana kwa kweli.

Pitia huu uzi uone[emoji3][emoji3][emoji3]


Kwamba nyie wakina yesu na Maria ndo mnajua Kiswahili [emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachaga wanatia aibu sana kwa kweli.

Pitia huu uzi uone[emoji3][emoji3][emoji3]



Sent using Jamii Forums mobile app
Wahaya ndio wanaotia aibu hawajui hata umuhimu wa Choo hadi waletewe kampeni ya nyumba Ni choo
Achilia mbali kampeni ya tohara yaan mnajidai mna elimu lkn kukatwa magovi Hadi serikali iwasaidie? Hovyo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti nasikia ndizi ndio zinafanya watoto wa Kili wawe na akili. Kanda za wala ugali nasikia matokeo mabovu sana!
kwani mashuleni wanakula ndizi au dona? Nadhani ni uwepo wa shule za Taasisi za kidini na binafsi zinazosimamiwa vizuri na walimu wa kutosha! Mfano angalia idadi ya teacher's colleges Kilimanjaro na Arusha! Pia vyuo kama mwecau!
 
Ni wivu tuu.... Pole jombaaa...
Hizo ni Shule za private za bweni zenye wanafunzi mchanganyiko kutoka mikoa mbalimbali.

Ndio maana unaona kuna shule kutoka Mbeya na Mwanza zimeshika nafasi za juu lakini huwaoni hapa watu wa mikoa hiyo wajimwambafai.

Wachagga sijui mmepatwa na nini, aisee.

Mbona huweki majina ya Top Best Perfomers tuone kama kuna mangi.

Amma matokeo ya shule za kata, maana hayo ndio tafsiri halisi ya jamii husika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamuishi huko ninyi ni kiguu na njia kwenye mikoa pendwa, hakuna tofauti na normads wa jangwani. Eti matajiri, mtu unamiliki robo eka ya mchaichai huko umbegeni halafu unajiita tajiri ? Kweli mmea wa Arusha ni shida
Mlionyooka Ni nyie mkoa maskin sisi kilimanjaro 90% tuna maisha Bora
Na kila idara tupo Safi chezea waisraeli wewe

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini ukilinganisha na miaka ya nyuma Kilimanjaro imeshuka kwa kiasi kikubwa. Ninakumbuka miaka ya nyuma seminari za Kilimanjaro zilikuwa kwenye tatu bora kila Mwaka!
 
Hamuishi huko ninyi ni kiguu na njia kwenye mikoa pendwa, hakuna tofauti na normads wa jangwani. Eti matajiri, mtu unamiliki robo eka ya mchaichai huko umbegeni halafu unajiita tajiri ? Kweli mmea wa Arusha ni shida

Sent using Jamii Forums mobile app
Unachekesha mkuu
Kwani kuwa na robo hekari Ni hoja? Nina robo hekari lakini sehemu nyingine nimenunua mahekari mengi unaona nilivyo na akili kubwa?
Mchaga lazma ajiongeze ndio maana Wana maendeleo tz nzima kila pembe walishafika na kukamata maeneo,mwanza hapo tunakaribia kuwahamisha, sengerema ndio usiseme

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom