Kilimanjaro yaendelea kuwa kinara wa elimu

Kilimanjaro yaendelea kuwa kinara wa elimu

Kwa jinsi wahaya wanavyopendana Hadi Raha .
Yaan mafanikio ya muhaya mmoja ni mafanikio ya kijiji chote? mama wa kihaya mtoto wake kamaliza form four kaalika mashost wote wa kihaya na sare juu pamoja na kamati.

Yangekuwa makabila mengine kwenye elimu hakuna sapport sasa umbea wote na makamati yote kwenye harusi za mikeka[emoji23][emoji23]



Mimi nilipomaliza six ilikuja suprise ya coaster iliyojaa ndugu na marafiki wote wa familia mpaka nikaogopa.
Watz watasema sifa lakin ukiiangalia vzr inaonyesha jinsi watu wanavyovalue elimuView attachment 1321042

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie chá mtoto,unajua wachaga walivyo na umoja kama siafu? Mchaga akikuta fursa mahali anashtua wenzake ndio maana unaona dar maeneo mengi wameyashika mfano kimara,mbezi,kibamba ukienda utadhani upo uchagani
Mkuranga,bagamoyo tushahamisha wazaramo,hapo sijataja mikoani hasa mwanza,mbeya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wahaya misifa tu, hujui?

Mtu anashindwa kuandika Inferiority complex.

Ataweza kuandika, Jargon terms huyu?

Mutatis Mutandis, Schizophrenia, Alzheimer's, Rosicrucianism, Epicureanism, Eccentricity, Acute Macular Retinal Degeneration, Liver Cirrhosis, Hydrocephalus, Hydrocele, ?

[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]

Wahaya siku zote mnatia huruma, kwanini lakini?[emoji28][emoji28]

Mkuu ebu muache jamaa, atajiua bure hapa, tupate Felony, First Degree murder case.

Najua hajaelewa kitu huyu instanbul

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha Sina mbavu ,unajua tangu Jana usiku sikuwa hewani maana nilikuwa kwenye safari kuelekea Zurich nimefika mida mida nikawa ofisini nimepata chance hapa naangalia uhondo salute kwako meku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie chá mtoto,unajua wachaga walivyo na umoja kama siafu? Mchaga akikuta fursa mahali anashtua wenzake ndio maana unaona dar maeneo mengi wameyashika mfano kimara,mbezi,kibamba ukienda utadhani upo uchagani
Mkuranga,bagamoyo tushahamisha wazaramo,hapo sijataja mikoani hasa mwanza,mbeya

Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu tazama vzr majengo Kwanza .


Hicho chuo kina mijengo kama magereza[emoji23]View attachment 1321790View attachment 1321792

Sent using Jamii Forums mobile app
@instanbul unachekesha kagera nzima Hakuna shule yenye majengo Kama hili
Hapa Ni scolastica sec himo moshi
tapatalk_1578933858506.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom