Kilimanjaro yaendelea kuwa kinara wa elimu

Kilimanjaro yaendelea kuwa kinara wa elimu

Aisee kuna na Bukoba sec imetengenezwa upya imekuwa moto aisee. Kali kama University. Hatari sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha machepele kagera nzima Hakuna shule yenye jengo Kama hili
Hapa Ni st scolastica school himo(Moshi vijijn) shule ya ndugu shayo nikienda za mjini si utakufa kwa presha mkuu mshaija?
tapatalk_1578933858506.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona mnakomaa na cambridge sylabus? Mnafikiri hatuijui? Mbona huko juu nimekutajia Intermational schools nyingi??

Tatizo mnapoambiwa huu uzi sio wa matokeo ya international schools mnakimbilia kusema tu cambridge sylabus. Sasa kama zinatumia cambridge sylabus kwa nini mnaileta hapa kwenye matokeo ya NECTA??

Loosers
ISM sio Necta based school.

Ni Cambridge system. Ina Grades, huku kwenu ndio mnaziita madarasa.

Usifananishe Necta na Cambridge.

Naona umepigwa za uso hadi maji unaita mmaaah! [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yale magofu ya muleba na misenyi yameisha? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Naona unarudi kwenye aibu, imagine unabishana na mkoa kitaifa ni namba moja wakati mkoa wako namba 9.

Mkibanwa, mnakimbilia matokeo ya darasa la nne.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Matokeo yenye tija na uzito ni form four.

Ulishawahi kusikia mwanafunzi kajinyonga kwa matokeo ya darasa la nne?

Wahaya mpo duni hadi kufikiri.

Joan Rite na Denis Kinyange- Wachagga.

Vinara wa matokeo ya kidato cha nne. Viva to them.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha umembana kwenye 18 amebaki na ya Darasa la nne ambayo infact hata kilimanjaro imefanya vizur

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na IST inafanana hivyo??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha kupayuka payuka hovyo, shule za kizungu hazina mbwembwe za magorofa na mabus makubwa.

Wapo very simple but smart.

Hizo shule za magorofa nikileta utakimbia hapa.

Nakuonesha ISM, wanaenda Harvard, Stanford, Yale, IMT, Oxford. Sio hawa wenu wanajazana hivi vyuo vya Tanzania, hawapati exposure.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona mnakomaa na cambridge sylabus? Mnafikiri hatuijui? Mbona huko juu nimekutajia Intermational schools nyingi??

Tatizo mnapoambiwa huu uzi sio wa matokeo ya international schools mnakimbilia kusema tu cambridge sylabus. Sasa kama zinatumia cambridge sylabus kwa nini mnaileta hapa kwenye matokeo ya NECTA??

Loosers

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya tuje kwenye ya necta basi
Mbona kilimanjaro imeichapa kagera kwenye form four na form two respectively huku ya la nne zikipishana nafasi moja? Umeamini kilimanjaro Ni dume la mbegu?
Hapo sijazungumzia ma t.o wawili wachaga walioshika namba 1 na 2 respectively

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi bado mnajadili matokeo au.mada ishabadilika??[emoji2368][emoji2368][emoji2368]

Sent using Jamii Forums mobile app
Usiweke mpira kwapani mkuu kuhusu matokeo ktk level zote kilimanjaro imeichapa kagera Bao 5-2 maana form four tumewachapa,form two tumewafyeka,la nne ndio tumepishana (nafwasi) moja (nimeongea kiswahili Cha kihaya maana wahaya wengi hawajui kiswahili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona mnakomaa na cambridge sylabus? Mnafikiri hatuijui? Mbona huko juu nimekutajia Intermational schools nyingi??

Tatizo mnapoambiwa huu uzi sio wa matokeo ya international schools mnakimbilia kusema tu cambridge sylabus. Sasa kama zinatumia cambridge sylabus kwa nini mnaileta hapa kwenye matokeo ya NECTA??

Loosers

Sent using Jamii Forums mobile app
Mna uwezo wa kusomesha mtoto Cambridge syllabus? Njoo ism Moshi uone jinsi wachaga wamejaa
Ada yake kwa mwaka ni milion 45 ambayo ni Sawa na bajeti ya miaka 10 ya shule za huko kagera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Unamtisha instanbul atakimbia hapa.

Maana nimempa Kichapo za shule za moshi hadi anapost matokeo.[emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nashukuru kwa kumbana huyu instanbul yaan nilivyo busy na kazi huku Europe nikipata mda nakuja hapa kujibu mashambulizi naona kilimanjaro tupo mbele kwa Bao 5-2 dhidi ya watafuna senene,[emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom