luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,709
- 8,927
- Thread starter
- #701
Mwanza jiji ni asilimia ndogo Sana ya mkoa wa mwanzaMkoa wa mwanza unabebwa na jiji la Mwanza kwa asilimia 99.. .Mwanza mkoa nje ya jiji na maskini sana angalau sengerema... Leta mapato ya manispaa ya moshi tulinganishe na manispaa mojawapo ya jiji.
Na sehemu kubwa ya mkoa wa mwanza Ni maskini ndio maana Ni mkoa wa 5 kwa umaskini,unadhani hapo mwanza mjini ndio mwanza yote? Kilimanjaro hadi vichochoroni kuna huduma zote kwanzia lami,majengo ya kisasa ,umeme maji nk
Kule vijijn mwanza maji Ni anasa
Ni kawaida kukuta supermarket vijijn kilimanjaro nenda marangu, machame,usangi, utashuhudia
Sent using Jamii Forums mobile app