Kilimanjaro yaendelea kuwa kinara wa elimu

Kilimanjaro yaendelea kuwa kinara wa elimu

Uongo mtupu, niliwahi kusoma Bendel Memorial.

Wachagga ndio dominant tribe, kadhalika na shule kama Scolastica, St. James, Weruweru, Ashira etc.

Wapo wengi sana kina shirima, mtui, mawalla, mushi, mosha, massawe, urio.

Sijui hizo data huwa mnapataga wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ww ni wa bendel memorial eehh..
Dah kitambo sana kwa fratee
 
Imeifikisha wapi mkoa wenu
Imesaidia mkoa wa kilimanjaro kuwa wa PILI kwa watu wake kuishi maisha Bora kwa 90%
Yaan 90% ya Wana Kilimanjaro wanaishi maisha Bora kwa mujibu wa takwimu
Pia imefanya mkoa wa kilimanjaro uwe wa kwanza kwa miundombn Bora vijijin,ni kawaida kilimanjaro vijin kuwa na lami,pia kilimanjaro hatujui shida za maji,umeme,shule , hospital nk
Wakati kule kwenu mnakimbizana na umeme wa REA, kilimanjaro umeme ni tangu 1970's,wakati kwenu mnaanza kujenga hospital za wilaya sasahv, kilimanjaro karibu kila wilaya ina hospital 2,3
Kule vunjo wananchi wake walichanga bilion 7 kukarabati barabara zote za jimbo hii Ni matunda ya elimu
Ukija kielimu, kilimanjaro ndio mkoa namba moja kwa kuwa na shule za sekondar nyingi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachagga ni walevi tu wanatumia nguvu nyingi kuwafikia wahaya. By nature wahaya ni nshomile

NB moderators wa humu ni subjective wameutoa uzi wa wahaya wakiwapig vibaya wachagga paper l 4m 4 ila wameiacha huu

Hizo ni chuki kwa wahaya n ukabala. Hatafanikiwa
 
Muhimbili, SUA, Mzumbe, Ardhi, Udsm Wachagga wamejaa sana.

Tukiweka ushabiki pembeni, Wahaya kwa Udsm hasa professor na other intellectual mpo wengi kuliko Wachagga, japo Wachagga ndio wanafuata baada ya Wahaya.

Muhimbili hakuna kabila lime dominate kama Wachagga, ikifuatiwa na wahaya then wanyakyusa.

SUA Wachagga wanaongoza hasa administration kadhalika na mzumbe.

Huo ndio ukweli mchungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tafiti ulifany chumbn kwako et
 
Imesaidia mkoa wa kilimanjaro kuwa wa PILI kwa watu wake kuishi maisha Bora kwa 90%
Yaan 90% ya Wana Kilimanjaro wanaishi maisha Bora kwa mujibu wa takwimu
Pia imefanya mkoa wa kilimanjaro uwe wa kwanza kwa miundombn Bora vijijin,ni kawaida kilimanjaro vijin kuwa na lami,pia kilimanjaro hatujui shida za maji,umeme,shule , hospital nk
Wakati kule kwenu mnakimbizana na umeme wa REA, kilimanjaro umeme ni tangu 1970's,wakati kwenu mnaanza kujenga hospital za wilaya sasahv, kilimanjaro karibu kila wilaya ina hospital 2,3
Kule vunjo wananchi wake walichanga bilion 7 kukarabati barabara zote za jimbo hii Ni matunda ya elimu
Ukija kielimu, kilimanjaro ndio mkoa namba moja kwa kuwa na shule za sekondar nyingi


Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu ikasaidia na Moshi ikawa jiji
 
Unachekesha mkuu
Kwani kuwa na robo hekari Ni hoja? Nina robo hekari lakini sehemu nyingine nimenunua mahekari mengi unaona nilivyo na akili kubwa?
Mchaga lazma ajiongeze ndio maana Wana maendeleo tz nzima kila pembe walishafika na kukamata maeneo,mwanza hapo tunakaribia kuwahamisha, sengerema ndio usiseme

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa Mwanza kazi yenu ni pub na kuchoma Kitimoto hakuna cha zaidi kipi kingine mlichonacho? Magorofa machache mliyojenga kwa mikopo ya CRDB Sasa wazawa tunayanunua kupitia minada ya benki Maana mnashindwa kurejesha mikopo kutokana na ukata baada ya mianya ya madili kuzibwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka mazingira sawa ya utoaji elimu kwa vijana kutoka mkoa wa mara na huko kwenu kwa wanywa mbege halafu ulete mrejesho, matokeo ya darasa la saba ile top 10 almost wote wametoka mkoa wa mara, kama ulikuwa hujui hili..
Unazungumzia ya la Saba? Kwan kilimanjaro unajua ilikuwa ya ngapi?
Nyie huko Mara mnachokipenda Ni kunywa kichuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachagga ni walevi tu wanatumia nguvu nyingi kuwafikia wahaya. By nature wahaya ni nshomile

NB moderators wa humu ni subjective wameutoa uzi wa wahaya wakiwapig vibaya wachagga paper l 4m 4 ila wameiacha huu

Hizo ni chuki kwa wahaya n ukabala. Hatafanikiwa
Unaweweseka mkuu,mhaya haez mfikia mchaga kwa Chochote sio elimu, uchumi wala maendeleo
Mchaga elimu yake Ina reflect maendeleo,mhaya hadi kuchimba Choo hadi serikali imletee kampeni elimu gani hiyo? Wewe endelea kunywa rubisi hapo kyetema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom