instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,611
- 19,809
Primary ya hivyo umekosa?Agape Lutheran Seminary SecondaryView attachment 1322212View attachment 1322213View attachment 1322214
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli. Zina phosphorus nyingi.Eti nasikia ndizi ndio zinafanya watoto wa Kili wawe na akili. Kanda za wala ugali nasikia matokeo mabovu sana!
Hai Primary and KindergartenView attachment 1322266View attachment 1322267View attachment 1322268
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu angalia vzr Haya matokeo .Kilimanjaro PrimariesView attachment 1322262View attachment 1322263View attachment 1322264
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiangalia matokeo ya form four utagundua kitu kutoka Kilimanjaro.Hebu angalia vzr Haya matokeo .
Utagundua kitu Kwa kageraView attachment 1322272
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Nimerud tena mm mbabe wa katerero a.k.a INCOMPLEX INFERIORITY
HA HA HA HAAAAAAA
Yan watu tunaongelea vyuo vikuu wanavyosoma watoto waliofaulu yeye anaweka vocational training colleges wanavyosoma watoto waliokimbia umande kama yeye katerero
Bukoba mjivunie ndizi tu, kuhusu elimu hakuna kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Form four pia bukoba ni ya pili[emoji23][emoji23][emoji23]
Unamtisha instanbul atakimbia hapa.
Maana nimempa Kichapo za shule za moshi hadi anapost matokeo.[emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana nikakwambia haujui kinachojadiliwa hapa. Hapa tunajadili matokeo ya shule zinazotumia sylabus yetu ya kibongo we unaleta habari za Intermational school of Moshi. Ndo maana nikakwambia kama unataka tuijadili hiyo leta basi matokeo yake hapa nikijua kabisa hauna.Hawa hawatumii Necta mbweha wewe.
Wanatumia Cambridge system.
Najua wewe ni mshamba kwasababu ni Muhaya huwezi kujua mambo ya kizungu.
Unajua katerero na kukamata senene huko muleba..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
KAGERA ni Mkoa masikini katika tafiti.
Ndio maana dada zenu wanauza nyapu Mwananyamala kwa Wahaya na buguruni.[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Dar ata kwenye kumi bora haipo lakini kuna matokeo sijui kayatoa bashite yanaonyesha dar imetoka kwenye nafasi ya11 ikarukia ya kwanza[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Darasa la nne kagera ni ya pili nyie ni wa tatu huko.[emoji23][emoji23][emoji23]
Unamtisha instanbul atakimbia hapa.
Maana nimempa Kichapo za shule za moshi hadi anapost matokeo.[emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kukuta mtoto kutoka Muleba anasoma hizi shule kwasababu kagera ni mkoa masikini.
Ukiona ngozi nyeusi ni kina shirima, urio , marealle, mawalla, kinabo, mengi, Massawe na kina sanga, makinda, mlelwa, kihanga.
Hamna mkaterero hapa.[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1321334View attachment 1321335View attachment 1321336View attachment 1321337View attachment 1321338
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii shule ndo mazingira yake unalinganisha na kemebos pamoja na kaizirege.
Shule kama ya kata?naona ni nursery school tu
Hebu kamgoogle shule hiz hapa. Ihungo, Kaizirege st achileus kijwile, Adolph kolping ,kibeta ,hekima girls,peace, nk nk ulinganishe mazingira [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajifariji kwa matokeo ya halmashauri?
Hebu leta chuo kikuu ( mnavyoita) kinachoweza fikia hii shule Kwa majengo.
Huku bukoba hatubaatishi.
Sasa subiri stendi imalizwe.
Ndo maana airport, kaitaba,bandari viko smart ,hata Cathedral ya bukoba pia maana tunatulia na kutoa product nzr.
Sasa subiri stendi imalizwe kule kyakairabwa mtapotea nyote.
ANYWAY KUNA CHUO KIKUU KINAJENGWA HUKO KAHORORO SUBIRI KIISHE View attachment 1321369View attachment 1321370View attachment 1321372
Sent using Jamii Forums mobile app
Anajificha kwenye shamba la karangaUnajifariji kwa matokeo ya halmashauri?
Wakati kitaifa ni namba 9? [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23]
Mmepitwa hadi na Tabora.[emoji44][emoji44]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yale magofu ya muleba na misenyi yameisha? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Darasa la nne kagera ni ya pili nyie ni wa tatu huko.
Bado halmashauri za uhayan bukoba na muleba zipo top ten.
Huku muleba ikiwa na shule kibao kuliko hata halmashauri za darView attachment 1322351
Sent using Jamii Forums mobile app