luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,709
- 8,927
- Thread starter
- #21
Mkaruka, Mwanafunzi Bora wa kike Ni Joan rite una la kusema Tena?
Kwahyo shule zote kilimanjaro Ni private? Kwamba private zipo nyingi kuliko za serikali? Acha wivu kilimanjaro haijaanza Léo kuwa best kwenye elimu hii kitu ipo tangu enzi na enzi ndio maana huwezi kukosa mtu wa kilimanjaro ktk ofisi yoyote TANZANIA nzima unadhani kwann?
Sent using Jamii Forums mobile app